cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Hawa ni vijana wenzetu njaa kali tu Sasa stress huwa kujianzishia nyuzi za kushambulia wanawake humu, mbona hata sisi wanawake tunapambana Ila hatushambilii ntu yoyoteOne day i said this kwa mtu. Threads unazoona zinafunguliwa kushit wanawake mostly ni vibroke boys with no future. Real men wametulia kimyaaa mahali wanawashangaa hawa wavulana badala wajijenge kimaisha kutwa kusutana na dada zao