Hawa ni vijana wenzetu njaa kali tu Sasa stress huwa kujianzishia nyuzi za kushambulia wanawake humu, mbona hata sisi wanawake tunapambana Ila hatushambilii ntu yoyoteOne day i said this kwa mtu. Threads unazoona zinafunguliwa kushit wanawake mostly ni vibroke boys with no future. Real men wametulia kimyaaa mahali wanawashangaa hawa wavulana badala wajijenge kimaisha kutwa kusutana na dada zao
Yeye anajua mwanamke above 30 hivi vile ni hyo age amkubalie tu yoyote bila kujua people differ in preferences wengine Wana wapenzi wa jinsia moja, na hawawaz mahusiano mengine. Huko vijijini Hadi machizi wanaoana kabisa sembuse huku mjiniYaan hivi ndo aina ya vivulana vikifika age ya uzee vinakufa na depression kwa kutokua na mbele wala nyuma. Kwa mawazo kama haya huyu ana akili gani kichwani.
Hivi unajua kama kila mtu ana preferences zake dogo? Unadhani ndoa ni kuoa ama kuolewa randomnly tu kisa age imesonga? Hapana... kama ni kuolewa mbona hata chizi unaolewa naye, hata nani unaolewa ama kuoa. Lakini age haikufanyi ujishushe uwe na mtu ilimradi mtu. Haya utakuja kumuusia binti yako siku moja kama sisi tunavyousiwa na baba zetu... halaf tuonyeshane makaburi ya wasimbe na wasio wasimbe. Halaf msimbe kumbuka na wewe ni msimbe.
Ujue sijawahi ona threads zetu kweli tukiwaattack hawa viumbe. Lakini maybe pia wanapunguza msongo wa mawazo. Maana si kwa akili hizi za kuokotezaHawa ni vijana wenzetu njaa Kali tu Sasa stress huwa kujianzishia nyuzi za kushambulia wanawake humu, mbona hata sisi wanawake tunapambana Ila hatushambilii ntu yoyote
Yaan ndo kama uko na mahusiano ila unaona kbs hapa hamna kitu ila eti kwakua age inasonga basi uendelee kubaki unalia kama ambulance ya mloganzila.[emoji706][emoji706][emoji706]Yeye anajua mwanamke above 30 hivi vile ni hyo age amkubalie tu yoyote bila kujua people differ in preferences wengine Wana wapenzi wa jinsia moja, na hawawaz mahusiano mengine. Huko vijijini Hadi machizi wanaoana kabisa sembuse huku mjini
Wasimbe ni mama zako dogo... kuwa na adabu..kila siku kujaza server tu kwa ufala. Ama ndo mnataka igeuza jf twitter. Sasa unajua maana ya msimbe? Mbona na wewe ni msimbe..
Hahaaaa utoto huo kwahyo kuwa na umri mkubwa huruhusiwi kutoa mawazo, dah wewe utakuwa uzalilisha wazee kisa umri, kufika age flani ni neema za Mungu Tena ni heri na wewe utafikia tu umri huo au usifike maana ni mjinga flani, and you have nothing to show ka kutongoza Kuna kushinda ungekuwa na mafezwa usingekuja kulia lia si waona kina diamond hawatongozi wanajulikana
No.. tunawasaidia wavulana kama wewe hapa kwa ushauri... focus na kujiweka sawa dogoNdio mimi ni msimbe, Kwani kuambiwa msimbe ni Tusi ?? Acha kupanick dada [emoji28][emoji28]
Kwani age ya mtu ikieenda yeye anaumia nini, kwani ni dadake huyo aiseeYaan ndo kama uko na mahusiano ila unaona kbs hapa hamna kitu ila eti kwakua age inasonga basi uendelee kubaki unalia kama ambulance ya mloganzila.[emoji706][emoji706][emoji706]
Hawa hawana hela ndo vinara wakutukana humu jf ndo wanakua humu jf Kuna watu wazito hawana huu ujinga
Dawa haiwezi niingia kwa kweli lazima tuwaekeweshe hafu Hilo neno wasimbe makabila ya kishamba ndo hupenda kulitaja kweli why?Mkuu Cariha tulie Dawa ikuingie [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan hivi ndo aina ya vivulana vikifika age ya uzee vinakufa na depression kwa kutokua na mbele wala nyuma. Kwa mawazo kama haya huyu ana akili gani kichwani.
Hivi unajua kama kila mtu ana preferences zake dogo? Unadhani ndoa ni kuoa ama kuolewa randomnly tu kisa age imesonga? Hapana... kama ni kuolewa mbona hata chizi unaolewa naye, hata nani unaolewa ama kuoa. Lakini age haikufanyi ujishushe uwe na mtu ilimradi mtu. Haya utakuja kumuusia binti yako siku moja kama sisi tunavyousiwa na baba zetu... halaf tuonyeshane makaburi ya wasimbe na wasio wasimbe. Halaf msimbe kumbuka na wewe ni msimbe.
One day i said this kwa mtu. Threads unazoona zinafunguliwa kushit wanawake mostly ni vibroke boys with no future. Real men wametulia kimyaaa mahali wanawashangaa hawa wavulana badala wajijenge kimaisha kutwa kusutana na dada zao
Hoja yako nimeeielewa ila kubali umechemka mno Yani hafu mwanaume kunanga mwanamke ni uzwazwa ukikataliwa ukatalike, Sasa wewe had Uzi umeanzisha your hurt.Nani ameku bukly hapa..! You guys are missing it. Hivi ulielewa hoja yangu kubwa ya kuleta huu uzi. Mdada nimekupigia simu ukaniulizia nani mwenzangu nikajitambulisha vizuri kuwa mimi ni Redpanther, oooh kumbe sawa then Unanikomalia nani kakupa namba yangu. Lilikuwa ni suala la kuniuliza ulikuwa unasemaje nikusadie that is it. Yaani kwa age hiyo unakomalia tu nani kakupa namba yangu… seriously. Yaani kama hauko interested na mimi, just say it kwani ni lazima ukubali. Kukubali au kukataa ni Yote ni Maamuzi yako.
Sijui umenielewa..!
Ukitoswa toseka fanya mambo mengine ni kawaida kukataliwa na kukataa.
Ujue sijawahi ona threads zetu kweli tukiwaattack hawa viumbe. Lakini maybe pia wanapunguza msongo wa mawazo. Maana si kwa akili hizi za kuokoteza
No.. tunawasaidia wavulana kama wewe hapa kwa ushauri... focus na kujiweka sawa dogo
Kwani age ya mtu ikieenda yeye anaumia Nini, kwani ni dadake huyo aisee
Hoja yako nimeeielewa ila kubali umechemka mno Yani hafu mwanaume kunanga mwanamke ni uzwazwa ukikataliwa ukatalike, Sasa wewe had Uzi umeanzisha your hurt.