Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Kuna watu humu wanachukulia poa poa sana hili jambo.Unaliona jepesi hilo!? Yani ubaya ukishatajiwa utakimbilia kumchamba alietoa namba kama vile sijui amefanya dhambi gani!
Why discriminating other's because of age why!?Nooo I am not, trust me. Started this thread to share my experiences with girls of this caliber. Relax mama, unayakuza sana sijui mnataka nisemeje labda. Nilikiri kuwa nikichokosea nikutomface mhusika..! Then what are guys complaining about? Still wanna argue that [emoji849]
[emoji3][emoji3]Cariha dawa dawa hii ni kali mnoo nitaipunguzia concentrates ili kupunguza dozi yake maana mnataka kunimeza yaani [emoji23][emoji23]
ImagineKwani age ya mtu ikieenda yeye anaumia Nini, kwani ni dadake huyo aisee
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kushuoaza shingo we mvulana... umekataliwa basi. Jikatae.. unafikiri ni yeye mwenyewe hapendi? Hata mm ungenipigia from.nowhere lazima useme kwanza namba yangu umeitoa wapi. Kitu unachoprove wewe kuwa mvulana ni, umeelezwa kabisa mwanzoni huko kwamba kuna some security purposes. What if ana uadui na mtu anamstalk. What if wewe kunywea hapo kigrocery ilikua ni njia mojawapo ya kumstalk? Mbona dogo hujiongezi? Mtu asikae akanipigia na namba mpya halaf simjui na asinieleze alikotoa namba yangu kama kutakua na maelewano.Miss pablo naona dawa inakolea kisawa sawa…! Itaneni wasimbe wote hapa Jf mbishane na msimbe mwenzenu wa kiume niko hapa. Maana mnataka Battle ambayo haikuwa hoja ya msingi.
Hujabully? What is it? Aisee... or else useme ulitaka changamsha genge. Huku wavulana si wengi kama twita dogoRelax, sio ishu ya Broke guys wala nini..! Kama ungenifahamu nje ya Jf huenda ungetamani kufuta baadhi ya koment zako unasingizia broke guys. Mnashadadia kuwa nime mbully mtu, wapiiii ??
Guys hebu endeleeni majukumu yenu vinginevyo namimi nitaanza kujibu vile mnataka nijibu.
Imagine
Wanaume Kwenye sentensi zetu hatutuamiagi neno "JAMANI"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Miss bado umenikazania, Jamani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]Wanaume Kwenye sentensi zetu hatutuamiagi neno "JAMANI"
Acha hizo pigo mkuu
Wanaume Kwenye sentensi zetu hatutuamiagi neno "JAMANI"
Acha hizo pigo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23][emoji23] acha kushuoaza shingo we mvulana... umekataliwa basi. Jikatae.. unafikiri ni yeye mwenyewe hapendi? Hata mm ungenipigia from.nowhere lazima useme kwanza namba yangu umeitoa wapi. Kitu unachoprove wewe kuwa mvulana ni, umeelezwa kabisa mwanzoni huko kwamba kuna some security purposes. What if ana uadui na mtu anamstalk. What if wewe kunywea hapo kigrocery ilikua ni njia mojawapo ya kumstalk? Mbona dogo hujiongezi? Mtu asikae akanipigia na namba mpya halaf simjui na asinieleze alikotoa namba yangu kama kutakua na maelewano.
Zaidi achana na age za watu. Unaonekana mshamba
Wanaume Kwenye sentensi zetu hatutuamiagi neno "JAMANI"
Acha hizo pigo mkuu
Hataki kuuzwa.Mkuu sio kukataliwa.! Ujue hawa wanawake ambao wana stress za vikoba na Michezo yao huko wanayofanya ukiwasikiliza sana utaona kama tuna wabully. See, mtu ninaleta uzi kushangazwa na kile yule mdada anakikomalia. Ndio namba sijaipata kwake lakini kakomaa eti oooh sijui imekua hivi mara hivii..! Lilikuwa ni suala la kuniuliza vipi unashida gani? Na Bahati nzuri yule dada kanielewa n we are now texting each other hivyo yaani, ila still ananiambia anataka kujua nani anagawa namba yake. What’s so special na hiyo kujua nani kanipa namba ??
Drama hawakosi hawa haijalishi umri, wanapenda sana majaribu.. usitake mambo yao yote seriously 😂😂Hapana Mkuu, niko 30 Mkuu. Siku zote mimi huwa sitaki kutongoza visichana vya umri chini ya 28 maana natambua walivyo na jeuri na pia wanakuwa hawajakomaa kiakili (Baadhi yao). Kwahiyo kumfuata huyu wa 28 ni kwamba naona akili yake ina maturity na sitegemei drama za ajabu ajabu.
Hataki kuuzwa.
Usidhani mpaka sasa huyo Yuko single kama unavyodhani ana watu hakika wake sasa anapenda kujua umepat wapi isije kuwa amekupasia mtu wake ili umtie majaribuni .
Akijua umeipata wapi ndiyo awe huru au kitanzini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu rudi uwape dozi hawa wajinga wajinga.
Halaf kwa uanaume gani alio nao hadi awe na mwanamke. Kwanza huyu bia alizokunywa amejaza kwenye daftari la Manka la madeni