Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,865
- 3,633
1. John- Ni mpenda sifa na muongo, kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake
2. Brayton- Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda kubembelezwa na anapenda kulelewa
3. Moses- Ni mkali sana na hapendi kuambiwa ukweli
4. Joseph- Mcha Mungu, anafanya maovu yake kwa siri sana
5. Steve- Mbahiri sana na anapenda kutembea na mijimama
6. Hussein- Anaweza kuwa na michepuko zaidi ya mitatu ndani ya nyumba moja na msijuane
7. Omari- Anapenda ubabe wa kijinga kila kitu lazima mshindi awe yeye
8. Robert- Ana roho mbaya na ana mkono mwepesi wa kupiga mwanamke
9. Thomas- Ana hasira za karibu
10. Frank- Kwa kifupi ni pasua kichwa, Mlevi na mkorofi hapendi marafiki wa kiume wa demu wake. Ila ni muongoji mzuri tu
11. Fred- Ana wivu kupindukia. Muda wote ana kazi ya kumchunguza mpenzi wake
12. Raymond- Ana upendo wa dhati tatizo lake gubu
13. Suleiman- Muda wote yupo busy lakini hana hela, na ana mademu lukuki
14. Richard- Ugomvi wake hauishi, anapenda kukumbushia makosa ya zamani na anapenda kumpigia simu mpenzi wake mara kwa mara, kwa siku anaweza kupiga siku hata mara kumi
15. Sudi- Ana upendo wa dhati ila tatizo lake akiachana na mwanamke lazima akatangaze madhaifu yake kwa watu
16. Emmanuel- Mpole ila ana tabia za ubinafsi akikosea hapendi kuomba msamaha
17. Gerald- Anapenda sifa za kijinga
18. Adolf- Hajui mwanamke mwenye sifa gani anamtaka
19. Abel- Kila kitu anakijua yeye, hapendi kuelekezwa
20. Obeid- Msiri sana, hapendi kumwambia mpenzi wake mambo yake ya kimaendeleo
21. Othuman- Mpole ila siku akikasirika mbingu itapasuka
22. Nelson- Ana mbwembwe sana ila hajui mapenzi
23. Paul- Anapenda kutoa ahadi zisizokamilika
24. Habibu- Maneno mengi
25. Ally- Ana tabia za kiswahili sana na anapenda kumlinganisha mpenzi wake wa sasa na wa zamani
26. Felix- Mtulivu lakini ana majivuno
27. Ramadhani- Mchafu mpaka chumbani kwake
28. Raphael- Ana kiburi cha asili, anapenda kubishana hata kwa kitu kidogo
29. Hassan- Mtaratibu, anaweza kuachana na mwanamke bila hata kumwambia
30. Adam- Ni mcheshi mbele za watu ila akiwa na mpenzi wake ana nuna bila sababu
31. Erick- Kila mkikutana anataka mfanye mapenzi, Mlevi na anapenda kutongoza shemeji zake
32. Wilson- Anapenda kusikilizwa yeye tu
33. Andrew- Mwaminifu sana ila akikuchoka utajuta kumfahamu
34. Hamis- Anapenda ugomvi wakati mwingine bila sababu
35. Derick- Ni zuzu na anapenda sifa sana akiona watu
36. Shedrack- Hawezi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi 3
37. Isaac- Hajivunii mwanamke aliyenae
38. Mohamed- Ana maneno matamu ila nyuma ya pazia ana michepuko kibao
39. Ibrahim- Ana hasira za karibu ila akipewa penzi tu hasira zote zinakwisha anaanza kujichekesha chekesha
40. Juma- Haishiwi sababu na hakuna swali analokosa jibu. Ni mjanja sana
41. James- Hamjali mpenzi wake kwa lolote
42. Ben- Mlevi na mpenda sifa ila kitandani yuko vizuri
43. George- Anapenda kuabudiwa hapendi kukosolewa
44. Deo- Kila mwanamke anamuahidi atamuoa
45. Joachim- Ana maneno mengi ila sio mtekelezaji
46. Samwel- Hawezi kukuruhusu kwenda kwake bila taarifa
47. Julius- Anapenda rafiki na ndugu zake kuliko mpenzi wake
48. Daniel- Anaonyesha upendo siku tu akipewa pesa au mapenzi au kitu chenye thamani
49. Gilbert- Ni mrahisi kuahidi kitu hata kama hana uwezo nacho
50. Nick- Hapendi kuzungumza vitu vya maendeleo, yeye ni fashion tu, hela yake inaishia kwenye kununua nguo
51. Timotheo- Mwadilifu mwenye kuthamini kila mtu hana makuu. Kielelezo chanya kitabia
52. Alvin - Mcheshi sana na msumbufu mno ila anapendwa na kila mtu[emoji7][emoji3059][emoji8]
53. Simon- Mkimya hapendi sana kampani ni anti.social flan ila anapendwa na watu sio mpenzi mzuri kwa wadada coz hapend outing
54. Massawe- huyu sina haja ya kuelezea[emoji482][emoji481][emoji387]
KAMA JINA LAKO HALIPO JUA YA KUWA WEWE HAUPO KATIKA LIST HII ILA KAMA RAFIKI YAKO YUPO SHARE KWAKE.