Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

Dada, usiingie kwenye mahusiano na wanaume wenye majina haya

13. Suleiman-Muda wote yupo busy lakini hana hela
hapa sio kweli na ndio nimeishia kusoma ujinga wako, liheshimu hili jina sheikh... hajawahi tokea mtu tajili kama Sele tangia dunia iundwe hadi itakapo isha.... so hata watu wanaotumia hilo jina posibility ya kua kama ulivyoandika hapa ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom