Dada uzuri wako usiulete nyumbani kwako, utaachika

Hatusemi akiolewa basi awe mbaya, hapana! Lakini uzuri wake usiwe sababu ya kujiona sana na kuleta dharau kwa mumewe kwamba hata afanye nini hawezi kuachika.

Wanaume tunapenda kuheshimiwa na kupewa thamani kama mume ndani ya nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…