Dada wa Damu!

Joined
Oct 22, 2010
Posts
78
Reaction score
0
Habari wanajamii 'Great Thinkers' Hivi majuzi rafiki yangu aliniuliza swali ambalo binafsi nilishindwa kujibu. Najua siwezi kukosa jibu hapa. Rafiki yangu huyu anasema amekuwa akiota ana 'do' na dada zake wa damu mara kwa mara. Hajawahi kuwaza wala ku'do' nao. Hii maana yake nini wapendwa? Scientifically, ukifanyacho/ukiwazacho mchana usiku kinakutokea kwenye ndoto, narudia tena, hajawahi fanya hivyo!. Thanx.
 
Asidanganye.
Huyo anawawazia mchezo mbaya dada zake ndio maana huota ndoto za mawazo yake ambayo ni ngono na dada wa tumbo moja
 
Huyo ni shetani kabisa mwambie amkemee kwa nguvu zote, kwani wanawake wameisha mpaka amtamani dada yake?
 
ni ndoto tu hizo, but remember imeandikwa kuwa ndoto huja kwa sababu ya shughuli nyingi na sauti ya mpumbavu kwa njia ya wingi wa maneno (mhubiri 5:3)
 
Asidanganye.
Huyo anawawazia mchezo mbaya dada zake ndio maana huota ndoto za mawazo yake ambayo ni ngono na dada wa tumbo moja

Hata mimi nilihisi hivyo lakini nilipomuuliza juu ya hilo alikata katakata nikahisi labda kuna tafsiri ya kindoto iliyotofauti na hisia zangu.
 

Yawezekana dada zake wana mvuto sana aangalie asije akawabaka
 
pepo mahaba. wanavaa sura za dada zake afu wanamwingilia usiku. mtu kama huyo hata akioa kupata watoto ni ngumu, majini yanafunga kizazi au yanaua mbegu zake. au hata akipata watoto, ndoa yao huwa haina amani maisha yote, hadi waokoke na hayo majini mahaba yakimbie...

kwa upande mwingine kama amefanya kiukweli lakini anasingizia ndoto...siku hizi, watu wengi tu wanafanya ngono na kaka zao /dada zao. hii inatokana na vile vimchezo ambavyo watoto huanza kufanya wakiwa wadogo hata kama ni ndugu....akiwa na umri wa miaka sita, saba, watoto wengi huwa wanachezeana uchi au kujipapasa na dada yake...wengu mnajua hili....wakifika miaka kumi na mbili wanafanya hivyo kwa kuibia pia, wakifika miaka ya kubalehe, kwa mihemko ya balahe wanafanya kabisa na bikira kwaheri...wakiendelea kwasababu walishaonana uchi wakiwa wakubwa wakaingizana kabisa, wakiwa secondary wanafanya kabisa (pale wazazi wanapowapiga geti kali)...ile hofu ya kaka na dada inapotea kabisa na wazazi si rahisi kugundua kitu kam aicho hata siku moja...wakifika umri wa watu wazima, siku wakitingwa wanafanya tu kwasababu hawaogopani walishaonana uchi wakiwa watu wazima....wengine wanaendelea hata watakapooa, wanamsaidia shemeji.

mtaa ninao kaa, kuna dada amepanga nyumba, ni mchaga, ana miaka 37, hataolewa, anakaa peke yake, ametafuta mume hadi amechoka. wengi wanamsingizia kuwa anatembea na kaka yake....cha ajabu, hadi leo hii, utakuta kaka yake anakuja kupaki kagari kake ka mkopo pale kwake mida ya saa mbili usiku....anakaa humo ndani wawili tu hadi mida ya saa saba ivi utakuta kagari ndo kanaondoka....yule kakake ukimkuta ndani, yuko huru ajabu, amevua shati yuko kufua wazi, yupo huru tu....sasa sijui ni kweli au vipi...
 

Yaweza kuwa kweli! Nitamshauri aokoke.
 
Hamna binadamu mwenye majibu ya hilo,amuombe Mungu,wakati mwingine ndoto hazina maana ya kile unachoota ndo maana kuna watu wanasema ukiota umetumbukia shimoni, kuna baya litakupata kuwa makini............hakuna yeyote anayeweza kujua ukweli wa yeye anawawazia nini dada zake?kama ye kaona tabu hadi kukuambia wewe,mwambie amuulize Mungu,atampa maana au hata kuiondoa hiyo ndoto.
 
Niliwahi kusikia kuwa ndoto ni reflection of past or future completions of a dreamer! Hapo Chacha!!!!!!!!!
 
wisely contribution.
 
ampe dada yake hela kw shuhuli anayompa usiku km yule jamaa w humu jf.
 

Ulisomea ushauri nasaha nini Michelle? Unatisha, thank you dear.
 
Inaonekana hapo jirani yake hakuna mabinti wa rika lake. Kwa hiyo jamaa anataka kuzifanyia kazi kwa vitendo semi hizi:
1) Fimbo ya mbali haiui nyoka
2) Mbuzi hula kufuatana na urefu wa kamba yake

Mwambie aache kabisa mambo anayoyawazia kufanya maana ni chukizo kwa wazazi wake, ni chukizo kwa dada/ndugu zake wengi, nichukizo kwa jamii kwa ujumla na zaidi ya yooote nichukizo kwa MUNGU.
 
Ulisomea ushauri nasaha nini Michelle? Unatisha, thank you dear.

Asante Abraham,hujakosea, ndo nilichosoma na kazi yangu ya mwanzo ilikuwa hiyo. Ni kazi ninayoipenda japo inaniumiza sana kusikia mambo watu wanayopitia na pia inanipa woga.Mpe moyo,kwa Mungu kuna majibu yote,ukumbuke hata kwenye biblia watu kama Yusuph waliota,lakini tafsiri ya ndoto inaweza kuwa kama inavyoonekana au tofauti,na asiogope,aulizane tu na Mungu wake ni nini maana ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…