Dada wa JamiiForums hajibu PM zangu tena baada ya kumuambia kazi yangu kubeba zege

Wanawake wa aina hiyo wapo na wengi wao huja kuishia kupiga vibarua vya zege kwa wahindi na malipo yao 6000/ 8hrs bila kupumzika.. Narudia tena kuna wengine wamechezea ndoa zao na leo hii maisha yameshafanya yake..
 
duh!!,Pole sana.
baadhi ya mademu huwa hawapendi kusikia story zinazo akisi maisha ya ufakara ya mwanaume.

huwa wanapenda kusikiliza story zinazo tambulisha maisha mazuri ya kifahari.

ukimpata mwingine mdanganye.mwambie mama yako na mama yake rizwan kikwete ni "mashostito" tangu utotoni kwao.

yeye kwa ujinga wake atajua moja kwa moja wewe na riz mnafahamiana hence upo vizuri kimkwanja.
 
James chase alikuwa na kitabu chake akisema you never know with women nilimuelewa sana kipo humu penye uzi wa chase kitafute
 
25,000×7 =175,000 per week
175,000 ×4 =700,000 per month

Atakua hakupiga hesabu

Ha ha ha, ndo maana hapa wanaotangaza kazi wanasema awe na digrii.

Faida zake ni hizi za kuoiga mahesabu eeh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…