Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaogopa vumbi la cementi.Nakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi mwanaume nikamfuata hadi PM tukaanza mazungumzo yetu vizuri na vigezo vyake vyote ninavyo,ndipo akaniuliza unafanyakazi gani nikamjibu mie ni mbeba zege kwa siku naingiza 25000 basi toka siku ile mpaka leo hajibu PM zangu sijajua sababu ni nn wakati tulishaongea vzr mwanzoni
Usiogope woga aiseeHataree jamani.
Hayabasi kuna tatzo nenda setting urekebishe notification
Najua hata kufolo basiau try kunifollow mie
ha ha ha ha ha ha ha haNilishapata mmoja humu ANATAFUTA MWENZA WA MAISHA...nikamvuta INBOX akaja..BAADA YA CHATING YA MUDA...nikamwambiya nitumie PCHA YAKO...hataki...nitumie no yako..pia hataki...sidhani km wapo serious..au sijuwi PENGINE BAADA YA mimi KUMTUMIA PCH YNGU.. hakupendezwa.![]()
Nakumbuka mwezi wa 4 mwaka huu katika pitapita zangu hapa jf nikakutana na bandiko la mdada mmoja anatafta mwenza wa maisha akaweka vigezo vyake vyote na mwishoni akasema awe mchapakazi,basi mwanaume nikamfuata hadi PM tukaanza mazungumzo yetu vizuri na vigezo vyake vyote ninavyo,ndipo akaniuliza unafanyakazi gani nikamjibu mie ni mbeba zege kwa siku naingiza 25000 basi toka siku ile mpaka leo hajibu PM zangu sijajua sababu ni nn wakati tulishaongea vzr mwanzoni
ndo nashangaa wakati kwenye vigezo anataka mwanaume mchakalikaji namie mchakarikaji kweliHarafu anakukataa unayeingiza 25000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 750000 harafu anamkubal anayelipwa laki tatu kwa mwezi kisa mvaa tai mpauko, baadhi ya wanawake akili zao zinawatosha wenywe