Ok, sawa.Hakuna anaye danganywa
Story hizo
Ha ha haHa ha ha, ndo maana hapa wanaotangaza kazi wanasema awe na digrii.
Faida zake ni hizi za kuoiga mahesabu eeh!
Wivu [emoji28][emoji28][emoji28]tra wako wapi jamaa anapata hela nyingi bila kukatwa kodi kumbe kazi za site zina hela
Ha ha ha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki mnayohata mm yamenikuta hayo baada ya kumwambia mwanamke fulan mm ni mdananda na super marioo amekata mawasiliano dah! hivi wadananda hatuna haki ya kupenda? naumia sana
UmeonaeeeHakupiga hesabu kweli,tena yake haina makato ya bodi ya makopo n.k
[emoji23] [emoji23] [emoji23]I hate you [emoji34] [emoji34]
sasa si napigia mng`ao kwako then tunaenda viwanja? au unaona ni hatareee...Uwe unapitia sehemu kwanza upige mng'ao na nguo ubadilishe kabisa.
Hataree jamani.sasa si napigia mng`ao kwako then tunaenda viwanja? au unaona ni hatareee...
Unanionea tu wewe[emoji17]una kesi namie ijibu haraka sana
Ndo nilipoFika chumbani kwanza
Sijakuona kabisainamaana mudawote hujaniona tu