Dada wa JamiiForums hajibu PM zangu tena baada ya kumuambia kazi yangu kubeba zege

Anaogopa vumbi la cementi.
 
uaenda mwaka bado hajibu PM zangu
 
Nilishapata mmoja humu ANATAFUTA MWENZA WA MAISHA...nikamvuta INBOX akaja..BAADA YA CHATING YA MUDA...nikamwambiya nitumie PCHA YAKO...hataki...nitumie no yako..pia hataki...sidhani km wapo serious..au sijuwi PENGINE BAADA YA mimi KUMTUMIA PCH YNGU.. hakupendezwa.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha
 

HUYO ULIMJBU VIZURI KAMA MWOLEWAJI ANGEJIONGEZA NAAMINI IWE NI ZEGE AU SIYO HUYO YUKO KIUCHUMI ZAIDI ACHANA NAYE MWIZI NA HIYO TRICK UMETUMIA VIZURI KUMTAMBUA. ACHA KUTAFUTA MTANDAONI KAMA NI KWELI UNATAFUTA MCHUMBA KATAFUTE BAR UTAMPATA MKWELI KANISANI WOTE WANAFIKI MSIKITINI SINA JIBU ILA NI WALEWALE
 
Harafu anakukataa unayeingiza 25000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 750000 harafu anamkubal anayelipwa laki tatu kwa mwezi kisa mvaa tai mpauko, baadhi ya wanawake akili zao zinawatosha wenywe
 
Harafu anakukataa unayeingiza 25000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 750000 harafu anamkubal anayelipwa laki tatu kwa mwezi kisa mvaa tai mpauko, baadhi ya wanawake akili zao zinawatosha wenywe
ndo nashangaa wakati kwenye vigezo anataka mwanaume mchakalikaji namie mchakarikaji kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…