Dada wa kazi anani-blackmail baada ya kutembea naye

Chai bora,kilele cha ubora[emoji444][emoji444]
Iwe na maziwa,isiwe na maziwaaaa,chai Bora ni majani ya TATEPAAAA🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎵🎸🎸🎸🎸🎤🎤🎤🎤
 
Jamaa una roho mbaya umetupikia uji halafu sukari tujitegemee
 
Kamba pro max
 
Pesa ipo mkuu lakin sio kirahisi hivyo
Huwezi kua na pesa Kama huna akili.
Mtoto mdogo ndio anakuongoza mpaka unafanya zinaa wakati una mkr? Eti chura, Sasa kwani uliingiza huko anakoingiza RC mstaafu hayawani Yahaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…