Dada wa kazi: Mfanyakazi pekee yake ambaye akitangaza kuacha kazi bosi anatetemeka wengine tuliobaki wala

Dada wa kazi: Mfanyakazi pekee yake ambaye akitangaza kuacha kazi bosi anatetemeka wengine tuliobaki wala

Labda unatetemeka wewe,kwetu watoto wanapelekwa kwa bibi,dada anapewa chake aondoke.

Msiwanyenyekee sana wadada wa kazi, kama unamlipa vizuri atakuheshimu na atakwambia mapema siku ya kuondoka ila kama unamlipa vibaya atakuendesha atakua anatest mitambo ya kila aina huku akikutesea wanao vibaya mno.
 
Labda unatetemeka wewe,kwetu watoto wanapelekwa kwa bibi,dada anapewa chake aondoke.

Msiwanyenyekee sana wadada wa kazi,kama unamlipa vizuri atakuheshimu na atakwambia mapema siku ya kuondoka ila kama unamlipa vibaya atakuendesha atakua anatest mitambo ya kila aina huku akikutesea wanao vibaya mno
Mkuu huyi bibi yako anakaa wapi?
 
Hahaaa..hasa ukute bosi na watoto wadogo pia ni mfanya kazi..kiukweli hawa wanasaidia sana kazi za ndani..ila wanapewa maslahi madogo sana...wamama muache roho mbaya dhidi yao...ndio mana wanaume hua tunawafariji dhidi ya mateso haya(natania tu)..[emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Maendeleo gani tena hayana chama boss, mbona tumesha achana nayo!
 
Hahaaa..hasa ukute bosi na watoto wadogo pia ni mfanya kazi..kiukweli hawa wanasaidia sana kazi za ndani..ila wanapewa maslahi madogo sana...wamama muache roho mbaya dhidi yao...ndio mana wanaume hua tunawafariji dhidi ya mateso haya(natania tu)..[emoji28][emoji28]

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi madada wa kazi, house boys,na wafanyakazi wa kulisha ng'ombe ua kuku ni bidhaa adimu sana.
 
Kheri ya siku ya waajiriwa duniani lakini kwa hali ilivyo ni dada wa kazi tu ambaye akitangaza anaacaha kazi bosi anatetemeka wengine waliobaki wala
Kwakweli umeongea ukweli mtupi aise Hawa watu Wana faida kubwa Sana Ila hawaonekani kabisa ,wanadhauraulika, hawathaminiki na hata kunyanyasika na mishahara midogo mno

Mm nafanya nao kazi... nashukuru nimewasaidia Sana kupitia kampuni yangu ya muhasu domestic helpers angalau wafanyakazi wanaotoka chini yangu wanalipwa vizuri na kutalhaminika

Ndoto ni kuzifanya kazi za ndani kuwa Kama kazi nyingine na kuwasaidia hata Hawa jobless kutodharau kazi hizi .
 
Labda unatetemeka wewe,kwetu watoto wanapelekwa kwa bibi,dada anapewa chake aondoke.

Msiwanyenyekee sana wadada wa kazi,kama unamlipa vizuri atakuheshimu na atakwambia mapema siku ya kuondoka ila kama unamlipa vibaya atakuendesha atakua anatest mitambo ya kila aina huku akikutesea wanao vibaya mno
Inaonyesha una roho mbaya ww😆
 
Familia yangu ishawasahau hao wadada wa kazi,sijui kuna uhusiano gani kati ya wafanyakazi wa ndani na ushirikina.
 
Maksudi wanafanya. They want to hit where it hurts most. Dawa yake ni kubaki na hata elfu 10 ya mshahara wa kila mwezi ndio mtaagana vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa na mmoja sexual urges zikimshika anakupigia simu kama haupo home njoo uwaangalie watoto wako Mimi naondoka.

Ikatokea the first time. Akarudi early the following morning nikakausha tu tukaendelea kuishi. Yaani she was good at her job lakini zikimpanda haelewi chochote pamoja na kwamba alikuwa off on Sundays twice a month.

The second time it happened sikuwa hata home. Nilichoka na alipoondoka it was for good. Sikutaka tena upuuzi huo. After a few days anapiga simu analia maneno kibao Mara hata Mama yangu hanithamini kama wewe, unamjali mwanangu.... Blah blah blah. I was done.
 
Back
Top Bottom