Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Hoja yenye mashiko hasa kwa kipindi hiki cha kuhemea ajira katika nchi yetu.Kheri ya siku ya waajiriwa duniani lakini kwa hali ilivyo ni dada wa kazi tu ambaye akitangaza anaacaha kazi bosi anatetemeka wengine waliobaki wala
Maksudi wanafanya. They want to hit where it hurts most. Dawa yake ni kubaki na hata elfu 10 ya mshahara wa kila mwezi ndio mtaagana vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda unatetemeka wewe,kwetu watoto wanapelekwa kwa bibi,dada anapewa chake aondoke.
Msiwanyenyekee sana wadada wa kazi,kama unamlipa vizuri atakuheshimu na atakwambia mapema siku ya kuondoka ila kama unamlipa vibaya atakuendesha atakua anatest mitambo ya kila aina huku akikutesea wanao vibaya mno
Acha uongo basi at least ungesema baadhi , wapo ninao wajua wadada wa kazi kutoka hayo maeneo hawapo hivyoOmba sana usipate HG kutoka Dodoma au Singida, ni washirikina sijapata kuona!
Haya nimesema "BAADHI" yameisha?! Au bado ni muongo?Acha uongo basi at least ungesema baadhi , wapo ninao wajua wadada wa kazi kutoka hayo maeneo hawapo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app