Dada wa kazi za nyumbani anahitajika

Dada wa kazi za nyumbani anahitajika

NathanSimon

Senior Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
121
Reaction score
28
Dada wa kazi za nyumbani anahitajika, nyumba ipo Kinondoni studio Dar es Salaam.

Kuna dada mwingine yupo anahitajika mwingine wa kusaidiana naye.

Kazi za kawaida za nyumbani na malezi ya Watoto.

Kazi sio ya kuja na kuondoka ni ya Kuishi apo apo.

Mshahara utakuwa makubaliano baina ya pande mbili.

Kwa muhitaji tuma ujumbe wenye namba yako PM utapigiwa.
 
Back
Top Bottom