Dada wa mjini kimeumana Uturuki

Nakadori

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,778
Reaction score
21,010
Mambo yamemchachia na hali ya kiafya kubadilika baada ya balozi wa bidhaa flani ya kuogea kuingia theatre nchini uturuki hapo juzi kwa ajili ya sajari ya kurekebisha matiti na baadhi ya sehemu za mwili.

Safari ya uturuki ilidhaminiwa na boss wake ambaye ni dada ya mjini (ambaye jina lake la kwanza linafanana na malkia mmoja ambaye aliingia kwa mfalme akiwa natural yaani bila kujipodoa na mfalme akavutiwa naye. Jina la pili la sponsa aliyesimamia gharama ya safari hii ni broker).

Watu wako kwenye maombi ili Mungu amsaidie mambo yabadilike maana hali si hali kwa mdhamini (anawaza atapeleka wapi mtoto wa watu kama likimpata baya) na mdhaminiwa (ambaye inqvyosemekana yuko icu).

Huyu balozi wa bidhaa pia ni mzazi mwenzake na MC mmoja maarufu sana na mwenye maneno ya kukera. Ila jamani tuacheni kumkosoa Mungu...kama Mungu amekuumba na pasi ridhika, kama Mungu amekuumba na sura ya baba ridhika.
 
1) Malkia aliitwa Ester

2)Broker kwa kiswahili ni Dalali

Salam ziende kwa Wanjara,Don Masha kitasa kwenye Bunyero,mwambie simba kacharara anataka msambwanda kwa buku jero. Aje

Masha love ndio Don Masha. Yeye pamoja na Rashida Wanjara walikuwa wanaoganaizi matamasha yaliyoitwa Bunyero Bunyero.

Hata kama hujui maana ya neno Bunyero ila kuna picture fulani inakujia.
 
Acha afe dalali wa mademu wenzie mjini

Nina video yake moja daaah ile kazi anayoiuza [emoji119][emoji119] mpaka dudu ilisimama
 
Nadhani wewe sasa utakuwa mrithi wa warumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…