Ni muda mrefu nimekuwa nikitakujua maisha ya baba yetu wa Taifa na familia yake kwa ujumla, na hii ni kutokana na nilivyotokea kumpenda!. Siku moja nikizungumza na mzee mmoja juu ya wanafamilia hao akaniambia kuwa, ''nilikuwa na ishi eneo moja na dada yake na Nyerere katika kijiji cha Kalinzi Mkoani Kigoma", mwenye taarifa/tetesi maneno ya mzee huyo yana ukweli?.