Dada yako anakutamani!!!!

Dada yako anakutamani!!!!

nipe no yake asikuumize kichwa nitampa dawa atokusunbua tena
 
yaani yote hayo afanye kwa ajili ya anini? kwa ni ni asikatae tu?? ama kweli dunia imekwisha kabisa lol
Baba yako ana uhakika kama ni mwanae kweli au kachomekewa tu. Damu moja haiwezi hata siku moja kutamaniana. Uchunguzi wa awali tafuta blood group ya mzee wako na huyo dada yako. Toa taarifa mapema kwa baba yako, yawezekana kwisha kuwa kimbulu huyo kwa malezi ya hovyo huko alikokulia!
 
Fikiria umezaliwa peke yako kwenye familia,baadae dingi anakuletea binti home anakuambia ni dada yako alimpata kabla hajakutana na mama yako,muda unapita,unamchukulia kama dada mara mitego inaanza,mwishowe anakuambia anakutaka kimapenzi usiku halali kwaajili yako,utamega au utatoka nduki????

hili swali bora kumwuliza Obasanjo aliyechukua mke wa mwanaye. Anaweza kuwa na jibu.
 
Kwa tamaa gani nimmege dada yangu!
Kuna mamia ya wanawake wako huko
Una mega with clear and clean conscious
 
kama ni kweli ni dada yako basi alipatikana kwa njia ya laana
anatakiwa kufanyiwa ukombozi
 
Mega wala usiogope laana itakuja kama mmezaliwa tumbo moja wengine halali hata kuoa mbona Waarabu Wahindi na hata makabila mengine nchini wanaoana?tena kwa wengine huyo ni mtoto wa haramu hata baba yake anaweza kumega hata kuoa
 
Mega wala usiogope laana itakuja kama mmezaliwa tumbo moja wengine halali hata kuoa mbona Waarabu Wahindi na hata makabila mengine nchini wanaoana?tena kwa wengine huyo ni mtoto wa haramu hata baba yake anaweza kumega hata kuoa
sio dada wa tumbo 1 lakini hiyo sijaona,ila wanaoana mabinamu hiyo sawa maana hata ktk dini ya kiislamu binamu yake mtume Muhammad SAW anaitwa Ali alimuoa mtoto wa mtume Muhammad SAW aitwae Fatima.
 
Back
Top Bottom