KERO Dada yangu amefariki kwa kuishiwa Oxygen baada ya Muhimbili kufosi kumpeleka Mloganzila

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Ukiona mgonjwa wako anatolewa Muhimbili au Amana na kupelekwa Mloganzila jiandae kwa mazishi
 
Prognosis ya kaposi sarcoma zero mostly inawakuta immunocompromised ila pole saana na bora kwa mgonjwa coz cancer inauma sikia tu
 
Watumishi wa sekta ya afya baadhi yao hawajataka kubadilika, wao wanachojali na kupata malipo yao tu. Hawapo kwenye hio sekta kwa kujitoa. Hivi mpk mtu anasomea na kuomba ajira sekta ya afya hajajua tu kuwa hio ni kazi ya wito!
Tuendelee kupaza sauti tusichoke. Siku yake mtu ikifika kweli imefika, lkn kuonesha uzembe wa waziwazi tunakosa imani na watumishi wetu. Inabidi walio maskini na wasio na ujamaa na wakubwa wasiumwe sio!? 😥😥😥
 
Ndio maana usaili umeanza kutumika kwenye hii fani maana imekuwa sio taaluma tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…