Dada yangu ana jinsia mbili


Ilikuwa ni wivu wa kimapenzi ( fumanizi )..Yeye sio msagaji , ni Huntha ( Yaani mwanamke aliye zaliwa akiwa na jinsia zote mbili ) so hata kumshauri kuacha ni kitu kisicho wezekana coz amezaliwa hivyo..Its just hard for me kukubaliana na ukweli huu mchungu
 
Nini kinafanya moyo wako ukuume? Wewe ungezaliwa hivyo ungefanyaje?

Sikia Majidai, wapo watu walioumbwa hivyo. Hata ukigugo shemale utawaona hatu wa jinsi hiyo. Huna sababu ya kuumia mpende tu dada yako ndivyo alivyoumbwa na wala si mkosi katika familia.

Zamani za mababu ilikuwa mtoto akizaliwa wa namna hiyo anauawa. Siku hizi wapo wengi tu.
 
Una bahati sana kuwa na dada unique,watumie namba walioimba pengine wanataka kugain new exprience ya kudo na jikedume.
 

Hao shemales ni wanaume waliojifanyia cosmetic surgery kuwa na makalio, sura na suati ya kike.But she was born that way
 
Hii imekaa kama hadithi. Mara kavaa kondom, mara hajatahiriwa. Hizi ni simulizi wandugu
 
Hao shemales ni wanaume waliojifanyia cosmetic surgery kuwa na makalio, sura na suati ya kike.But she was born that way

Sawa wapo wengi waliozaliwa hivyo. Nakumbuka kuna mwalimu mmoja wa kike alikuwa akifundisha shule moja ya msingi huko Kibaha alimpa mwanafunzi mimba na alipotajwa kila mtu alishangaa iweje mwanamke ampe mtu mimba! Kwa hiyo usishangae dada yako kuwa hivyo, sioni sababu ya wewe kuumia.
 

Sasa huyo ni kaka yako!
 
Kujua kwamba dada yangu ni huntha

Aibu yake aibu yako, umeileta hapa Jf, then what next, ni utoto huo, wakubwa zako (Babako na mamako) wanajua wamekauka, wewe shida yako ni ipi? au unaona wivu anatumika na kutumia vyote! Kwa nini unaumiza kichwa chako kwa faragha za ndugu yako?
 
Naona dada ako ana nyuki mbili ya kiume ndo inayo fanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…