Hapana sio kitovu, ana rasta huku chini a.k.a kinywele kimojauliwakuta kama walivyozaliwa.?basi huo haukuwa uume,kilikuwa ni kitovu bado hakijakatwa..
MAJIDAI, dada yako bonge la rijali, yaani na makasheshe yote mtulinga bado unadai??????????Taa ilikuwa imewashwa na niliona kwa karibu sana ( CLOSE RANGE ) walikuwa wameangushana chini, so niliona kitu kila katika purukushani za kuamulia ugomvi
sikia nikwambie!
hakuna muda dadako anakuhitaji kama muda huu!
amejua umeshajua na unavyonyamaza unazidi kumweka pagumu!
\muonyese kuwa yu still love her!,she is still the same sister yu use to love,care an respect!\
kwa umri aliofikia huwezi kubadili lolote!
ni maumbile yake na hakika akuna kitu tunaweza fanya kubadili hilo!
zungumza nae!na umshauri nini afanye awe salama!maaana pamoja na tatizo lake bado anajiweka kwenye atari zaidi!pengine hata kudhalilishwa kijamii of which ni mbaya zaid!imagine hao wadada wakimtoa magazetini kuhusu ujinsia wake!
Vipi kuhusu suala la yeye kufunga ndoa na kuwa na familia? U know am the only male child in our family and think like i have to be my sister's keeper
sikia nikwambie!
hakuna muda dadako anakuhitaji kama muda huu!
amejua umeshajua na unavyonyamaza unazidi kumweka pagumu!
\muonyese kuwa yu still love her!,she is still the same sister yu use to love,care an respect!\
kwa umri aliofikia huwezi kubadili lolote!
ni maumbile yake na hakika akuna kitu tunaweza fanya kubadili hilo!
zungumza nae!na umshauri nini afanye awe salama!maaana pamoja na tatizo lake bado anajiweka kwenye atari zaidi!pengine hata kudhalilishwa kijamii of whic
Nimekusoma kaka, simaanishi kumuingilia katika maisha yake but was just thinking any brother cud think about his sister..tusiseme tu every body has to mind his/her own bussiness , wakati mwingine we have to mind other people's biznez especialy when they are our beloved oneshilo sio juu yako!
ni maisha yake!
na kumbuka tu kila mtu pamoja na wewe tuna maoungufu!
so kwa kweli muache aaamue la kufanya juu ya maisa yake!
ITS HER LIFE!
Baada ya kusoma hii taarifa kutoka kwa mleta mada..nina Swali moja tu : Huyo Dada yako akiwa in public places huwa anatumia Choo cha Kike au cha Kiume?????
Maanake duuuuh atakuwa anafaidi sana huko vyooni na kwenye changing rooms ...maana huko wanawake huwa wanajiachia barabara.
NIMENUKUU MANENO YAKO:
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni Arawakan huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .
Wewe ni msomi wa aina Gani??Nauliza?
Kijana jifunze kuwa na Tabia za kiume/kuficha Siri huu ni udhalilishaji
NAKUNUKUU TENA......
,dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )
>kama kweli dada yako ana sifa ulizozitaja hapo juu ni rahisi sana kupata hizi taarifa humu jamvini,,trust me