Dada yangu ana jinsia mbili


Unasema jinsia mbili kwahyo uke nao anao?
 
Hii story niliisoma kitambo sana nadhani hata miaka 3 imepita
 
Hiyo hali ipo ila ni rare case, AMA wewe kutokujua na huyo ni Dada yako inanipa mashaka, kwa sababu ni hali ya kuzaliwa sio kama zilizuka tu baadae
 
Kwanini unamwita dada,ili hali ana jinsia mbili bora ungemwita KADA=KAKA+DADA
 
Asee hizi mambo kweli zipo msishangae. Mi niliwahi kuona kisa kama hiki tukiwa boarding secondary. Msela alikuwa na jinsia mbili hali iliyoleta tafrani hadi kuhamishwa xul make masela walishaanza kumla
 
Wewe kibachokusumbua nini? Ilhali yeye ameshakuwa mtu mzima.na hakuna marekebisho.mwache dadako afurahie maisha yake kwani huo sio ugonjwa!
 
Bujibuji umetisha..
Mpaka mama JJ ni jina lako mkuu?

Page one comments 2-6 bwana, nimecheka sana.

Mpaka mleta mada hakuwa LIKUD...

Duh! Jf si mahala salama kwa watoto...
 
Last edited by a moderator:

Mmmh! uongo mwingine banaa...
 
Kumbe kuna wanawake ukienda nao geto anaweza akakubaka dah inabidi tujihazari wanaume wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…