Dada yangu ana jinsia mbili

Dada yangu ana jinsia mbili

ni suala la kawaida tu, ila kama ya kiume inasimama hadi anagonganisha wanawake basi huenda ya kike ikawa haina nguvu
 
akiamua kuwa na mtoto anaweza ila atahitaji apate mwanaume wa kuzaa nae ambaye ataweza kumtunzia siri na hata awe na daktari wake maalum ambaye ataweza kumhudumia hadi kumzalisha ( ni bora azalie nyumbani kwake kutunza usiri)
 
Watu wenye jinsia mbili wapo sana ila kwa uku africa ni nadra kuwaona apo anaweza kufanyiwa operation akabak na jinsia moja kama msichana lakn tatzo lingne anaweza kua amezaliwa na hisia za kiume embu nenda kwa daktar wa maswal ya jinsia akupe elim zaid labda unaweza kujua pa kuanzia lakn usione kama ni badluck kwa family vitu hivyo vipo
 
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
Naomba namba ya simu ya dada yako
 
Mnaitaka ya kazi gani tena ndugu zanguni mbona mnanitisha?
usitishike ndugu we zoea tuu jf huwa utajibiwa seroius na masihara usipanic bro just cool.....ila hiyo ni tatizo aisee kisaikolojia itakusumbua pole sana ila imeshakuwa yuko hivo hakuna namna mana hata yeye huwzi jua anaumia ila hana jinsi...na suala la wanawake kuridhishwa unajua liko complicated wengi hawana waume pia hawajaolewa so wamona ni rahisi wakiwa na dada yako ili wapate penzi so just leave it to her bro. labda ummulize tu siku na umuambi hukujuwa tu ilamsamehe kwa hizo fujo...stand for her
 
Usihofu,inatokea mara chache sana na binadamu hawa wapo kabisa na hapa bongo land wapo na mimi ni shaidi kabisa maana kuna jirani yangu alikuwa na mtoto wa aina hiyo ila alivyofikisha miaka 12 alipimwa homoni za kike na za kiume ikagundulika kuwa yeye za kike ndo nyingi zaidi na alifanyiwa operation, I don't how na uume ukakatwa akabakiwa na uke. Mwanzo huyu mtoto alikuwa penda kucheza na midume na mavazi yake ya kidumedume tu na alikuwa anapenda kuwa dume, katika kumdadisi alisema ktk michezo ya kitoto ya kujaribu kudu alisha "du" na mtoto wa kike.

Ila kilichotokea kwenu na kwa familia nyingi za kiafrika zinakumbana na matatizo haya ni
  1. 1 Hofu na aibu
  2. 2 Uelewa mdogo wa mambo mbalimbali
  3. 3 Uwezo mdogo wa kiuchumi
  4. 4 Huduma duni za Afya

Haya mambo ndio yanayotukwamisha, kwani kwa wenzetu walioendelea hiki si kitu cha ajabu, huwa ikitoke kuna vipimo maalumu vya kujua homoni za jinsia ipi ni nyingi kwa mtoto then from the beginning wana mwandaa mtoto kuwa ktk jinsia hiyo.
Nadhani wazazi wako waliona aibu so hawakuomba ushauri wa watu au uwezo wa kiuchumiulikuwa mgumu kwa ajili ya kufuatilia matibabu.
Hunahaja ya kuhofu wala kuumiza kichwa ni jambo la kawaida sana, ila huyo dada kama ni msomi kihivyo usemavyo atakuwa ameshajua yeye anafiti wapi, kwa maelezo yako atakuwa dume ila anashindwa kuiweka wazi ktk jamii maana wanajua yeye ni jike.
umeeleza vizuri aise..angefanyiwa mpango tangu mwanzo...sema ndo hivo hawezi semani dume kwa sasa ni too late bora atulie tu asiamshe ma stress ya jamii
 
Pole sana kwa matatizo hayo sio vema kushuhudia kitu kama hcho kwa dada yako lakini jipe moyo kazi ya Mungu haina makosa
 
Famous Hermaphrodite People—Most of Them Went Through Surgery
Some famous people have been hermaphrodites, but hermaphrodite human people for them are not available. Here are ten of them that you might recognize:

  1. Maddie Blaustein: a voice actor in several video games, including Sonic the Hedgehog and Pokemon, and the founder of the popular “Second Life.”
  2. Lisa Lee Dark: A Welsh actress and voice performer, she was raised as a boy because doctors didn’t realize she was biologically female. Sent to an all-boys school, she was badly bullied because she didn’t act the way a boy was expected to act.
  3. Gottlieb Gottlich: A man who was one of the very first medical subjects to be studied for genital confusion. He was raised as a female but in his 30s began having severe abdominal pains; the investigation led to determining that he was actually male.
  4. Sarah Gronert: This retired tennis player won a total of ten titles. She was born with both male and female genitalia; upon surgery at the age of 19, she is now considered physically and biologically to be a woman.
  5. Iain Morland: A music technologist and author from England, he is a leading academic in the field of sex research. He was subject to numerous surgeries throughout his childhood in order to determine his gender.
  6. Dee Palmer. The former keyboardist for band Jethro Tull, Palmer was once known as David Palmer. Assigned as a female at birth, she went through numerous surgeries. After her wife died in 1995, she began to focus more on her intersex questions.
  7. Veronique Renard: A visual artist and author, she was diagnosed with Klinefelter’s syndrome in her teens, and chose to transition to a female. She became the youngest woman in the world to go through complete gender reassignment surgery.
  8. Caster Semenya: A world champion and South African distance runner, she was subjected to gender testing in 2009 after winning the World Championship. This was one of the first widely-known cases of gender testing in the athletic world and led to an uproar among medical professionals and athletes alike.
  9. Erik Schinegger: A skier who won many awards, he was originally known as female, but a medical test before the 1968 Olympics revealed that he was actually male. He chose to transition to life as a man, and eventually married and became a father.
  10. Caroline Cossey: Once a “Bond girl” in the James Bond films, she was raised as a male but had a female appearance. At the age of 17, she chose to transition to life as a woman. She had gender reassignment surgery and was eventually “outed” by tabloids as being raised as male.

Categories
Similar Topics
Same Category
 
Yani huyo dada yako ata akifanya kosa gani gerezani aendi kamwe au atasababisha wamjengee chumba chake mwenye
 
Back
Top Bottom