Dada yangu ana jinsia mbili

Dada yangu ana jinsia mbili

Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
pole sana mkuu sema wala usipanic sana chukuliakawada maana naamin hata yeye hilo lilimuumiza kichwa ikwezekana mara kumi zaid ya unavyojickia wewe now
 
Kwa sababu yeye kimuonekano ni mwanamke mrembo sana,Kuanzia, sura, umbo, matendo yake, suati nakadhalika, but ndio hivyo tena ana uume ( inaniuma sana kuwa na dada ambaye ni jike dume ), kwa jinsi alivyo ingependeza sana kama angeolewa na kuanzisha familia yake na kuleta heshima kwa familia yetu but ndo hivyo tena sidhani kama ataolewa
Watu wahiv hawaolewagi.... Ukimuoa ipo siku ataku0719
 
Taa ilikuwa imewashwa na niliona kwa karibu sana ( CLOSE RANGE ) walikuwa wameangushana chini, so niliona kitu kila katika purukushani za kuamulia ugomvi

Govi likisimama inakua kama imetairiwa,pia ni ngumu mtu akawa yupo kwenye ugomvi huku uume umesimama,mechanism ya uume kusimama imejiegemeza kwenye blood pressure,sasa uwepo wa ugomvi tu ni tatizo katika kusimama kwa uume.
 
Nyie ni watu wa mkoa wa mbeya..!? Isije kuwa dada ako alirefushwa kinembe na kwa kuwa kipo kama uume basi hukitumia kusagana. Ww umeona kinembe ktk ubora wake na sio ombo.
 
Dah nmekutana na link ambayo inaelezea hili swala......jamaa alichosema ni kweli. Nimeona picha ambazo sidhani kama zinaruhusiwa kuwekwa hapa....nahata videos zipo...Kiushauri mleta mada hauna cha kufanya, mpende tu dada yako....hakupenda itokee hivyo.
Anachoweza kufanya yeye anajitambuaje kama ni man au female na kama fedha ipo achague kiungo kinachoendana na akili yake akafanye operation...nakama ana enjoy vyote muache afaidi utamu wa both worlds...
Kwa niivyoona sio kitu cha ajabu...wanasema kati ya watoto 1000 wanaozaliwa 1 yuko hivyo...anajinsia mbili, ingawa huko walikoendelea huwafanyia operation wakiwa wachanga lakini imeonekana ni tatizo...ni bora kuwaacha wakue na kuwafanyia wakiwa wakubwa na kuonyesha jinsia gani yupo strong na ku assign uume au uke

Mode hebu shauri kama naweza weka video ya mtoto mchanga mwenye condition...iliyojadiliwa; youtube
BABY WHO WAS BORN WITH TWO GENITALS
 
Kwa sababu yeye kimuonekano ni mwanamke mrembo sana,Kuanzia, sura, umbo, matendo yake, suati nakadhalika, but ndio hivyo tena ana uume ( inaniuma sana kuwa na dada ambaye ni jike dume ), kwa jinsi alivyo ingependeza sana kama angeolewa na kuanzisha familia yake na kuleta heshima kwa familia yetu but ndo hivyo tena sidhani kama ataolewa
Jiulize!ukiwaza hali itabadilika?
Utafuta ulioyaona na kua ni ndoto?
Hukumzaa wala hujui kusudi la Mungu,hujui utamuathiri vip dada yako kama akijua unajua,anaweza kujiua utafurahi?jifunze kua na kifua,unafikiri wazazi wako hawajui?
 
Usiogope,
Hao watu mbona wapo wengi tuuu? Inategemea ni ipi inafanya kazi zaidi, ila kuna wakati inafikia, hiyo ya kiume ikakosa nguvu na kusinyaa ikabaki hiyo ya kike.
Cha kufanya, jitie nguvu siku moja umwendee dada, mwambie ulichoona kwani alijua kuwa weye ndiye uliamua ugomvi wake, halafu umwulize kwa utulivu mkuu. Huwa anawafanyaje hao wanawake?? Hata kama ni msagaji, akijua kuwa huna nia mbaya, atafunguka tu.
Kisha mtie moyo kuwa asikujali kuwa umemwona. Atakuwa muwazi zaidi kwako hata akipata tatizo
 
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
Hallow LIKUDI! This post stalk since May 2, 2013. Are you still searching for the best to implement proposal?
 
mbona mkuu unachelewa kutupa hiyo namba ya sista wako na sisi tujionee
 
Pole sana mkuu hao watu wpo wengi wao unakuta jinsia moja ni active nyingine siyo na wengine unakuta hana sehemu za siri ila ana pa kukojolea tu na unakuta ni mzuri ajabu nilishamshuhudia mmoja
 
Back
Top Bottom