Dada yangu ana jinsia mbili

Dada yangu ana jinsia mbili

Hii itakuwa story ya kutunga tu, mi siamini kama kuna ukweli wowote hapa!
Ni story tu ya kutunga mkuu,,maana anasema Dada yake alikuwa ana UUME umesimama kabisa na ukiwa kauvalisha kinga(condom)sasa alijuwaje kama ni govi?ndani ya condom?hivi UUME ukiwa ndani ya condom unawezaje kujuwa kama ni govi au katahiriwa?nadhani hyo ni kahawa na kashata zake..
 
Kinachotambulisha kama huyu ni mwanamke kumbe ni matiti piga ua galagaza
 
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
Ni kitu cha kawaida,dada tako ni tranny,take it easy tu na umkubali,kuna siku utaona anaingiza wanaune na atawashughulikia kupitia nyuma just normal

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
uliwakuta kama walivyozaliwa.?basi huo haukuwa uume,kilikuwa ni kitovu bado hakijakatwa..
Alivaa dildo ya rangi wa mwili wake,na ilikuwa strapless strapon ambayo huingizwa ndani ya uchi wa kike hivyo yeye asingeweza kumchunguza dada yake kihivyo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu yeye kimuonekano ni mwanamke mrembo sana,Kuanzia, sura, umbo, matendo yake, suati nakadhalika, but ndio hivyo tena ana uume ( inaniuma sana kuwa na dada ambaye ni jike dume ), kwa jinsi alivyo ingependeza sana kama angeolewa na kuanzisha familia yake na kuleta heshima kwa familia yetu but ndo hivyo tena sidhani kama ataolewa
Inakuuma hivi muumba ni nani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Duh uzi wazamani ila anyway... vipi hukufanikiwa kumpiga picha tushuhudie

Halafu kumbe wakina Mama J wapo kitambo tu! Dah
 
Hiyo hana jinsia mbili ni trans gender tu so kuwa pole endelea na maisha yako
 
Sawa wapo wengi waliozaliwa hivyo. Nakumbuka kuna mwalimu mmoja wa kike alikuwa akifundisha shule moja ya msingi huko Kibaha alimpa mwanafunzi mimba na alipotajwa kila mtu alishangaa iweje mwanamke ampe mtu mimba! Kwa hiyo usishangae dada yako kuwa hivyo, sioni sababu ya wewe kuumia.
Hv member kama huyu yupo kweli Hadi leo!!?
 
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
Ukauonaje uume ambao haujafanyiwa tohara ndani ya condom!?
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom