Dada yangu anatafuta mume

Dada yangu anatafuta mume

ngindo

Member
Joined
Oct 8, 2011
Posts
20
Reaction score
0
Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo na anaemwongopa Mungu, elimu kidato cha sita,asanteni kwa hekima zenu wanajf
 
mmmh.....kwa nini umechukua jukumu gumu hivyo la kumtafutia......?
 
Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo na anaemwongopa Mungu, elimu kidato cha sita,asanteni kwa hekima zenu wanajf

weka picha !
 
unawezaje kuzungumza na dada yako
na kukubaliana 'umtafutie' mume?

wengine mbona hatuwezi?????
 
mwenye dada hakosi shemeji.
Mdau mtoa uzi baada ya kuona anakosa shemeji. Kaamua kumtafutia dada mume.
HONGERA MDAU!
Maamuzi mazuri ulofanya.
 
Huyo mume anaetafutwa lazima awe "kidato cha sita" tu? akiwa "chuo kikuu" jee?
 
Mie namwogopa Mungu ila vijiti na tgo kwa sana tu...vipi hapo
 
Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo na anaemwongopa Mungu, elimu kidato cha sita,asanteni kwa hekima zenu wanajf

Na diploma ya mapishi. Naweza kuku pm?
 
Nina watoto 3 tayari kwa mama tofauti? je atakubali? kama ndio nipm
 
Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume
amtakae wasifu wake awe mkristo na anaemwongopa Mungu, elimu kidato cha sita,asanteni kwa hekima zenu wanajf
kwa vigezo hivyo ndio maana hupati/hapati mume. Iweje wewe una shahada kisha unataka mumeo awe kidato cha sita? Kwanini na yeye asiwe na shahada? Kama kweli yeye/wewe a/una mwogopa Mungu mbona hufuati maandiko yake? Maandiko yanasema mwanamume ndiye atakuwa kichwa cha nyumba. Kwa mtazamo huo inamaana wewe ndio unataka kuwa kichwa cha nyumba. Hiyo nyumba lazima itapasuka muda mfupi baada ya honey moon. Tumezishuhudia ndoa za hivyo nyingi tu. Kama hutaki mume kuwa kichwa cha nyumba jaribu single parenting. Ni mtazamo wangu tu kama mzee wa kanisa
 
Utampata tu wala usihofu ni suala la muda tu, utafanikiwa na wewe utakua na shemeji!
 
Waungwana wanaJF. Kama miongoni mwenu kuna anaetafuta mke basi ani PM wasifa wa dada yangu .miaka 30 mwembamba wa kati, dini ni mkristo elimu shahada ya kwanza.mume amtakae wasifu wake awe mkristo na anaemwongopa Mungu, elimu kidato cha sita,asanteni kwa hekima zenu wanajf
Ww Hutafuti mume? au tayari unaye?
 
umefanya la maana,
huku wamo na wengine wameshafiwa na wake zao
subiri ambao wako serious.
 
Mwambie anitafute ila nina miaka 24 nasoma Chuo kikuu +255658825141
 
Huyo umri umeshamtupa mkono. Mwambie awaze maisha tu. Mume hawezi pata tena.
 
Back
Top Bottom