Asante kwa ushauri ndugu, wazo lako ni jema sanaKuna roho mbaya inamtafuta, roho ya mauti. Sasa, dawa ni maombi tu. Hakuna namna. Alipoona fedha yake kaimaliza bila hata chochote alichoifanyia ndio mwanzo wa kujikataa. Anadhani kumuua mwanaye ndio njia pekee ya kumuepusha na dhiki mwanaye. Hayo ni mawazo mabaya ya kishetwani.
Ukijidanganya na kumleta akae kwako ndio kumharibu kabisa. Mpeleke kwanza kwa maombi akiisha tulia kidogo ndo umlete akae kwako huku ukihakikisha maombi hakosi. Akiisha funguka, mfundishe namna ya kujiendeleza. Umesema anavyo viwanja 2 uza kimoja ujaribu kujenga nyumba ndogo tu ya 2 rooms. Ahamie ajisikie kuwa ana kwake. Pole ploe ataanza kujiona wa maana. Hivi sasa amejidharau
Nisha wahi kupitia unakopitia wewe ila njia tofauti, toa report polisiHaya ni maisha tu mkuu, usiombe kukutwa mbona utaomba pooo!
Asante sana mie nipo chalinze vijijin na yeye yupo dar es salaam. J3 nitaenda hukoWew uko wap?? Upo mbali nae?? Kama ndivo Fanya hima uende mahala alipo kwa usalama wa mtoto,,afu yy angalia jins ya kurud nae mahali unapoish kwa usalama wake!! Ningejua alipo ningekutunzia mtoto kwan yy ana kosa had ahukumiwe kifo??? Fanya hima dada uhai hauuzwi Dukan,,,wambie hao majiran ikiwezekana wariport police
Akinywa kweli? Uso wangu nitauweka wapi? Mtoto wa watu ndo nitaitwa majina yote mabaya hapa dunianiWewe Fanya hivi kamnunilie hiyo sumu kisha mpe mwambie tutakuja kufuata maiti kuzika ataacha vituko vyake huyo anafanya hivo anajua kuna mtu anaemjali
Chukua huyo mtoto na yeye mwache aendelee na mambo yake manake hajitambuiNi mfanyakazi serikalini, yupo mwaka wa 15 kazini.
Ana miaka 40, hajaolewa. Anaishi yy na mwanae. Ni mwalimu katika shule fulani hapo dar es salaam. Ni kweli nahisi ana tatizo zaidi ya haya yanayomsumbua japo siamini kiviileee. Ndikusa tulongane kuinbox.Ana umri gan?
Ameolewa?
Anaishi na Nan zaid ya mtoto?
Anafanya kaz gan serikalini?
Zaidi ya mkopo unahisi ana tatzo gan jingine?
La mwisho msaidie kumpa hope ila kujiua hawez.... Mm ni mnyalukolo nina experience.
Kama una uwezo kamchukue10 yrs
Mpeleke dar vituo vipo vingi huko.... maana hawa jamaa wako vizuri sana na wana saikolojia nzuri tu... ulizia kwa wakazi wa dar hakika atarudi kwenye hali yake ya kawaida.....Nipo pwani wilaya ya chalinze
Pole sana, uzeni hivyo viwanja (japo kwa awamu hii lazima muuze kwa bei ya hasara) pia jaribu kuwashirikisha ndugu zako na baba wa huyo mtoto muone ni jinsi gani mnaweza kulimaliza hilo deniNdugu usiombe yaani hapa najiona nazeeka kwa mawazo[emoji17] [emoji17]