Dada yangu anatishia kujiua, nishaurini tafadhari

Bab key acha utoto huyo mleta mada anaonyesha yuko serious na hana hata chembe ya mzaha anaumia kwa hali ya ndugu yake tumsaidie huu Uzi naona umekaa kimsaada wa mawazo ya kweli yenye uhitaji na c mizaha
 
Pole sana, uzeni hivyo viwanja (japo kwa awamu hii lazima muuze kwa bei ya hasara) pia jaribu kuwashirikisha ndugu zako na baba wa huyo mtoto muone ni jinsi gani mnaweza kulimaliza hilo deni
Asante
 
Kinywa kinaumba. Ukweli atajiua na mtoto. Kwanza kamchukueni mtoto haraka sana. Pili mpelekeni kwenye Maombi. Tatu mpelekeni katika vyombo vya sheria kwa kuwa anatishia uhai wake binafsi na mtoto
Asante kwa ushauri
 
Asante kwa ushauri wako
 
Mshauri auze hivyo viwanja alipe madeni ya mtaani hilo lingine akatwe kwenye mshahara hela itakayobaki aanze maisha upya.

Si mbaya pia ukamkutanisha na wanasaikolojia
 
Si anakatwa huo mkopo through salary? Sasa unahaha nini mtu kakopa kaenda kuhonga? Mkopo 7m/= plus ribs 3m/= plus za mtaani.
Tatizo anatishia kujiua. Mikopo mbona wengi wanakopa na wanaendelea na maisha kama kawaida?
 
Bab key acha utoto huyo mleta mada anaonyesha yuko serious na hana hata chembe ya mzaha anaumia kwa hali ya ndugu yake tumsaidie huu Uzi naona umekaa kimsaada wa mawazo ya kweli yenye uhitaji na c mizaha
Asante kwa kunisaidia mkuu
 
Mshauri auze hivyo viwanja alipe madeni ya mtaani hilo lingine akatwe kwenye mshahara hela itakayobaki aanze maisha upya.

Si mbaya pia ukamkutanisha na wanasaikolojia
Asante kwa mawazo yako
 
Acha unafiki wewe ungekuwa unampenda kitu cha kwanza ungeenda kumchukua mtoto wake then ndio ungekuja kuomba ushauri huku. Pumbavu kabisa wewe.
 
HanaThupendoeagain, huyo: 18794192, hajachukua6hatuaKzozoteAubarikiwe kwa upendo wako[/QUOTE]
Hana hupendo wowote huyo, muda wote hajachukua hatua zozote. angekuwa na upendo angemchukua mtoto basi.
 
Chikueni mjomba wenu endeleeni na maisha yenu subirini kuzika huyo mfu!kifo hakikimbiwa kila mtu atakufa at a certain time na huyo keshamaliza maisha yake amebakiwa na uhai tu subirini hitimisho na kama nyie waislam basi jitayarisheni kumlipia madeni yake maana kwa taratibu za kiislam kufa na madeni ni mushkel kwa maiti labda wadeni wakusamehe.
Na kama hamtaki kufika huko basi chukueni dada yenu uzeni hivyo viwanja lipeni madeni na mumsaidie kurejesha maisha yake .
Pia kwa mujibu wa maelezo yako inaonekana familia yenu haiko tight kivile !unaogopa asife pia hauko pale kumsaidia?undugu maana yake for better or for worse you should have been there for her to give her strenght to guide her to mend her life am assuming hata dogo atakuwa uswazi tu school haend ilhalu wajomba na mashangazi mpo!
 
Atajua tu maana ndugu tuliopo ni wachache sana. Na akimpata siku hiyo timbwili lake si la kitoto.
Kwenu wote mna roho mbaya kwa maelezo yako hayaonyeshi kama kunajuhudi zozote mmefanya za kumsaidia mtoto na huyo ndugu yenu.
 
Mara nyingi huwa anayesema atajiua huwa hathubutu kufanya ivo hata cku mo1 lakin usisubir ad tukio litokee chukue hatua haraka
Wanajiua mkuu ,they just need this litle provocation! Long time dame wa mshikaji tulimpoteza kihivyo alikuwa anasoma Zanaki jioni yule kwao walikuwa wanamzingua asiwe na mshikaji wangu akawa anatishia kujiua brother wake akawa anampa kichapo na kumwambia jiuwe na akaenda mbali akanunua sumu kaweka visu akimwambia go ahead !
Dame alikaa kama wiki mbili hivi siku ambayo hakukuwa na tatizo lolote akafanya kweli!
Tuliumia sana she was so pretty!
 
Bab key acha utoto huyo mleta mada anaonyesha yuko serious na hana hata chembe ya mzaha anaumia kwa hali ya ndugu yake tumsaidie huu Uzi naona umekaa kimsaada wa mawazo ya kweli yenye uhitaji na c mizaha
Hana maumivu yoyote huyo mleta mada, kama angekuwa nayo kuna juhudi za awali angechukua kumsaidia ndugu yake kabla yakuomba ushauri. Wote wanakwepa majukumu.
 
HanaThupendoeagain, huyo: 18794192, hajachukua6hatuaKzozoteAubarikiwe kwa upendo wako
Hana hupendo wowote huyo, muda wote hajachukua hatua zozote. angekuwa na upendo angemchukua mtoto basi.[/QUOTE]
Nimewahi kumchukua na nikamuombea asome shule flan kwa muda. Akasoma kwa wiki tatu tu akaja kumchukua. Tena si mie tu watu mbalimbali wamejaribu kumsaidia mtoto ila mwisho wa siku anamchukua mwanae. Haya unafiki wangu uko wapi? Kama ulikuwa huna cha kuchangia ungekaa kimya wala usingepukiwa kitu. Mtu mzima huhesabiwa kwa busara zake na sio umri wake, umri ni namba tu. Aibu kwakooo
 
Mchukue mtoto halafu mwambieni yy ajipige kitanzi tuu haina shida
 
Acha unafiki wewe ungekuwa unampenda kitu cha kwanza ungeenda kumchukua mtoto wake then ndio ungekuja kuomba ushauri huku. Pumbavu kabisa wewe.
Kichwa kikubwa bila akili ni hasara kwa miguu yako. Kama huna cha kuchangia ungekaa kimya tu wala kisingeharibika kitu. Acha kujichoresha kwa upumbavu wako mtu mzima hovyooi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…