Muwahishe hospitalini harakaa!! Achana na kitu wakiitacho maombi kwenye magonjwa!Hajaenda. Nilipatabkujua hali hiyo jana nilipoongea nae kwenye simu na nimemshauri afanye hivyo mara moja. Anasema amekuwa akienda kwenye maombi na hapati nafuu!
nashukuru dadangu.pole kwa mgonjwa!
Muwahishe hospitalini harakaa!! Achana na kitu wakiitacho maombi kwenye magonjwa!
Achichichichichichichi chiiiiiiiii!!!! Hiyo dawa kiboko.wakati afuatilia hosp. atumie tiba hii hapa, kuna jirani yangu alikuwa na hali kama ya dada yako nilijaribu kumpa hii dawa sasa ni mzima na anafanya kazi zake. ila asiache kwenda hosp. pia.
Jitahidi kukimbia vyakula vyenye tindikali?? (Acid) kama Limau, ndimu, binzari, maharage, pombe kali au pombe kwa ujumla nk ...Vidonda vya tumbo
1. Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji - Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja uwe anakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana.
wakati afuatilia hosp. atumie tiba hii hapa, kuna jirani yangu alikuwa na hali kama ya dada yako nilijaribu kumpa hii dawa sasa ni mzima na anafanya kazi zake. ila asiache kwenda hosp. pia.

Kwa ushauri, nenda kamchuke uende nae hospitali. Kama yuko mbali na wewe, mshauri aende hospitali.Hajaenda. Nilipatabkujua hali hiyo jana nilipoongea nae kwenye simu na nimemshauri afanye hivyo mara moja. Anasema amekuwa akienda kwenye maombi na hapati nafuu!