Dada yangu anaumwa ugonjwa wa ajabu!

Dada yangu anaumwa ugonjwa wa ajabu!

Hajaenda. Nilipatabkujua hali hiyo jana nilipoongea nae kwenye simu na nimemshauri afanye hivyo mara moja. Anasema amekuwa akienda kwenye maombi na hapati nafuu!
Muwahishe hospitalini harakaa!! Achana na kitu wakiitacho maombi kwenye magonjwa!
 
sijawahi skia ugonjwa kama huo, 1.yawezekana ni ugonjwa mpya usiojulikana au 2. Yawezekana karogwa ushauri wangu, 1. AENDE HOSPITALI ZA MAANA HARAKA IWEZEKANAVYO 2. AMWOMBE MUNGU SANA.
 
wakati afuatilia hosp. atumie tiba hii hapa, kuna jirani yangu alikuwa na hali kama ya dada yako nilijaribu kumpa hii dawa sasa ni mzima na anafanya kazi zake. ila asiache kwenda hosp. pia.
Vidonda vya tumbo
Jitahidi kukimbia vyakula vyenye tindikali?? (Acid) kama Limau, ndimu, binzari, maharage, pombe kali au pombe kwa ujumla nk ...
1. Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji - Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja uwe anakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana.
Achichichichichichichi chiiiiiiiii!!!! Hiyo dawa kiboko.
 
Umefahamu vipi ni vidonda vya tumbo??
 
Hajaenda. Nilipatabkujua hali hiyo jana nilipoongea nae kwenye simu na nimemshauri afanye hivyo mara moja. Anasema amekuwa akienda kwenye maombi na hapati nafuu!
Kwa ushauri, nenda kamchuke uende nae hospitali. Kama yuko mbali na wewe, mshauri aende hospitali.
 
wakati afuatilia hosp. atumie tiba hii hapa, kuna jirani yangu alikuwa na hali kama ya dada yako nilijaribu kumpa hii dawa sasa ni mzima na anafanya kazi zake. ila asiache kwenda hosp. pia.
Vidonda vya tumbo
Jitahidi kukimbia vyakula vyenye tindikali?? (Acid) kama Limau, ndimu, binzari, maharage, pombe kali au pombe kwa ujumla nk ...
1. Dawa ya vidonda vya tumbo tumia Dawa ya Hii ya Kienyeji - Ukiamka Asubuhi kabla ya kula kitu kojowa mkojo wako mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja uwe anakunywa mkojo wako kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha uende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie jaribu kutumia hiyo Dawa itakusaidia Sana.

Jf kuna mambo mtoa maada mada kaomba msaada wa dokta kaja MUUAJI.lol
 
Back
Top Bottom