Dada yangu kapendeza leo baada ya kurudi salon!

Dada yangu kapendeza leo baada ya kurudi salon!

Yaani huyu wakati wa kulala itabidi avae helmet ili nywele zisivurugike, hapo ni kulala tu, sijui wakati wa kulalwa itakuaje na kma yupo Dar na joto hili basi kazi kweli kweli.
Mambo mengine tukubali yatupite tu
 
Mmhh sasa hivyo alivyosuka wakati wa Showtime's anakaaje ili asiharibu nywele..maana wenginde ata akikaa ule mkao pendwa wa yule mnyama kagoma lazima washikilie hizo nywele kama kamba za farasi ili kuongeza speed
hahaaa....nahisi atakua anatoa na zile sauti za yule myama aliyegoma kwenda.
 
Kapendeza sana mkuu.....mwambie anibip
 
Back
Top Bottom