Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
acheni uzandiki wenu gadna ni takataka
 
sasa ulitaka amjibu vipi yaaan amchokoze mwenyewe afu ushangae jibu...stupid questions dawa yake ni hyo
 
Unahangaika na maisha ya watu ili nini hela, yenyewe ya kulisha familia huna kazi kuwaza maisha ya watu...yan kuna watu wana mambo ya ajbu,.... moyon mwao wanajifariji kua ni wanaharakati
 
Naona kuna kila dalili ya mwanadada kutubu na kurudi kanisani kuimba gospel tena.
 
washa screenshot huku na wameiweka JF
cc: Jide
 
Jide kama mtabiri vile. Alichosema na ndio mleta mada alichofanya.
Kuchukua screenshot ya jibu lake ....
 
Kimaro nae anawaaibisha wachagga kwa maswali ya kimbea kama punga.
 
Jide kama mtabiri vile. Alichosema na ndio mleta mada alichofanya.
Kuchukua screenshot ya jibu lake ....

Na ku-screen short kulitokana na kile alichokiwaza.Aliwazalo mjinga ndilo litakalimtokea so kwa makusudi nilimsaidia kimaro kuuliza swali juu ya Komandoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…