witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Huyo Mke wa kwanza ni mtoto wa Hashim lundenga?Anae mmoja alizaa na mke wake wa kwanza ambaye ni mtoto wa hashimu lundenga,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mke wa kwanza ni mtoto wa Hashim lundenga?Anae mmoja alizaa na mke wake wa kwanza ambaye ni mtoto wa hashimu lundenga,
Mbona yule mmama mkubwa vileHashimu lundenga mwanae alikuwa kaolewa na gadna, lundenga ni baba mkwe.
Kwani wewe unapitia magumu yapi???Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Hata mimi nakusipoti witnessMbona kamjibu poa huyo kidudumtu..
Kwa hiyo wewe unataka mimbaAlisema kuwa Gadna anakojoa upepo. Sasa na huyu mwanaume mpya, mbona kashindwa kumjaza mimba?
Kwa nini asizae mwingine ili adhihirishe udume wake wa mbeguAnae mmoja alizaa na mke wake wa kwanza ambaye ni mtoto wa hashimu lundenga,
Umeelewa post lkn au umechangia tu..... Alie mchokoza mwenzake nani.... Mwanaume wa kumnyima utulivu Unamfahamu lkn au.....Jaydee hawezi pata utulivu wa maisha bila Gardner. Haunting goes on.
Kuna ulazima wa jide kwenda kumuona gadna!? Kwanini sasa? Kwani gadna mwanae.Angejibu bila kuonesha hali ya ku-panic.
Nimeshangaa sana!Hata mimi nakusipoti witness
Kuna ulazima wa jide kwenda kumuona gadna!? Kwanini sasa? Kwani gadna mwanae.
hujui kuwa gadner anamtoto !!??hiii !!! we Jamaa bhanaHuyo Gadna ana mtoto hata wa kusingiziwa?
Ni stress tu za kukosa mtoto,ana kila kitu lakini mtoto hana,kwa sasa anajuta kwa wale viumbe aliowatupa chooni enzi za usichanaView attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
Sio wa kusingiziwa,wa ndoa kabisa binti amemaliza chuoHuyo Gadna ana mtoto hata wa kusingiziwa?
We ungeweza?Angejibu bila kuonesha hali ya ku-panic.
Asingeuliza namna hiyo sasa.....Tambua kuwa Jide ni kioo cha jamii na huyo jamaa ni shabiki.Jide anatakiwa awe na majibu yanayoweza kufanya watu wamuone ni kioo.Huyo anaweza akawa si shabiki lakini jibu lenye busara likamfanya abadili mawazo na kuwa number one fan.Na huenda jamaa anatamani kuona siku moja Jide na Gadna wanakuwa pamoja tena.