Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Nimeanza kuona kuwa heshima ya Jd ilitengenezwa na Gadner maana muda unavyozidi kwenda ndo naona graph ya heshima yake aliyojijengea inazidi kushuka ...
Mungu amsaidie kwa maana siwezi jua ni magumu yapi anapitia
Kwani wewe unapitia magumu yapi???
 
Jaydee hawezi pata utulivu wa maisha bila Gardner. Haunting goes on.
Umeelewa post lkn au umechangia tu..... Alie mchokoza mwenzake nani.... Mwanaume wa kumnyima utulivu Unamfahamu lkn au.....
 
Kuna ulazima wa jide kwenda kumuona gadna!? Kwanini sasa? Kwani gadna mwanae.

Tambua kuwa Jide ni kioo cha jamii na huyo jamaa ni shabiki.Jide anatakiwa awe na majibu yanayoweza kufanya watu wamuone ni kioo.Huyo anaweza akawa si shabiki lakini jibu lenye busara likamfanya abadili mawazo na kuwa number one fan.Na huenda jamaa anatamani kuona siku moja Jide na Gadna wanakuwa pamoja tena.
 
Asingeuliza namna hiyo sasa.....
 
Back
Top Bottom