Sasa wewe ulitaka amjibu vipi? Unaona kabisa kam provoke. Hakuna shida kabisa hapoView attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
Anasumbuliwa na Umbea huyo Kimaro.Muuliza swali alikua na makusudi gani kama sio kumtafutia lawama mdada wa watu???
We ulitaka ajibu vipi kwa mfano..!!Basi tu anajionaga High class... tazama majibu anayojibu
Kuna kipind alikua anajipost Instagram na damu mwenye mimba atakua ana mtoto mwingineKwa nini asizae mwingine ili adhihirishe udume wake wa mbegu
Nadhani mwenyewe alitaka kuulizwa maswali na mashabiki wake ndio huyo jamaa akapiga chini ya mkandaNi nini kinamsumbua hadi anachafua page yake kwa kutema shombo?Komando huyu jamani.
Hakuna shombo hapo mkuu, halafu ukute alie uliza hvyo ni DUME. Kama ni DUME likaguliwe marinda mana sio kwa shobo za namna ile.[emoji35] [emoji35]Ni nini kinamsumbua hadi anachafua page yake kwa kutema shombo?Komando huyu jamani.
Fanyeni yenu acheni kuwafuatilia watu.Na ku-screen short kulitokana na kile alichokiwaza.Aliwazalo mjinga ndilo litakalimtokea so kwa makusudi nilimsaidia kimaro kuuliza swali juu ya Komandoo.
Au huyo jamaa ana lengo la kumgombanisha Jide na mtu wake wa sasa?Na ku-screen short kulitokana na kile alichokiwaza.Aliwazalo mjinga ndilo litakalimtokea so kwa makusudi nilimsaidia kimaro kuuliza swali juu ya Komandoo.
Majibu mazuri, tena ya kiungwana,hasa ukilinganisha na swali la kibazazi!View attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
Mlitaka ajibuje? Binadamu bwana! Hivi hamna vya maana vya kuwaza? Kutwa kutaka kuwapangia watu maisha, hata hamuwajui mnawaona kwa Tv tu.
Jide yuko poa kabisa. Moja ya wanadada ninaowaheshimu sana ....nitajie mwanadada ambaye nchi hii anaweza kuwa juu zaidi ya Jide ...benchmark iwe ni malipo kwenye shows ....msanii gani wa kike anaweza kuitwa kwenye show kwa dau kubwa kuliko Jide?
Hahaa DP yako imeniaribia udhuMbona kamjibu poa huyo kidudumtu..
Jamaa alikua anamkojoza sana, sasa binti amemis ma- skwitKwa maneno hayo....... Sisi wahenga tunaweza kuyatafsiri kwamba, bado anampenda alie muacha. Na hakika kuachana kwao bado kunamuumiza wakati mbele ya jamii anajifanya hajali
Tumejua we we ni askariHuo tunauita ni UNAAA kwa mtt wa kiume ww ulitaka amjibu vp labda