Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

Sasa wewe ulitaka amjibu vipi? Unaona kabisa kam provoke. Hakuna shida kabisa hapo

Ni nini kinamsumbua hadi anachafua page yake kwa kutema shombo?Komando huyu jamani.
 
Ni nini kinamsumbua hadi anachafua page yake kwa kutema shombo?Komando huyu jamani.
Hakuna shombo hapo mkuu, halafu ukute alie uliza hvyo ni DUME. Kama ni DUME likaguliwe marinda mana sio kwa shobo za namna ile.[emoji35] [emoji35]
 
nasikia wanaijeria wanamaumbile makubwa ya viungo vya uzazi vya kiume.. je ni kwweli
 
Na ku-screen short kulitokana na kile alichokiwaza.Aliwazalo mjinga ndilo litakalimtokea so kwa makusudi nilimsaidia kimaro kuuliza swali juu ya Komandoo.
Fanyeni yenu acheni kuwafuatilia watu.
Huyo Kimaro akijua Jide anamtembelea Gadner mara kadhaa kwa mwezi yeye Kimaro itamsaidia nini ktk maisha yake kimaendeleo?

Huo ni unaa tu. Mambo ya kipunga punga kama James Delicious au Kaoge.
 
Na ku-screen short kulitokana na kile alichokiwaza.Aliwazalo mjinga ndilo litakalimtokea so kwa makusudi nilimsaidia kimaro kuuliza swali juu ya Komandoo.
Au huyo jamaa ana lengo la kumgombanisha Jide na mtu wake wa sasa?
 
Mlitaka ajibuje? Binadamu bwana! Hivi hamna vya maana vya kuwaza? Kutwa kutaka kuwapangia watu maisha, hata hamuwajui mnawaona kwa Tv tu.
 
Jide yuko poa kabisa. Moja ya wanadada ninaowaheshimu sana ....nitajie mwanadada ambaye nchi hii anaweza kuwa juu zaidi ya Jide ...benchmark iwe ni malipo kwenye shows ....msanii gani wa kike anaweza kuitwa kwenye show kwa dau kubwa kuliko Jide?
 
Mlitaka ajibuje? Binadamu bwana! Hivi hamna vya maana vya kuwaza? Kutwa kutaka kuwapangia watu maisha, hata hamuwajui mnawaona kwa Tv tu.

Nenda katafute uzi wake aliowatumbua mashabiki wa mikoani ndio utajua kuwa kilichoandikwa kinasawiri stress zake.Mimi pia nilimtetea lakini leo nmekubali fasta.
 
Jide yuko poa kabisa. Moja ya wanadada ninaowaheshimu sana ....nitajie mwanadada ambaye nchi hii anaweza kuwa juu zaidi ya Jide ...benchmark iwe ni malipo kwenye shows ....msanii gani wa kike anaweza kuitwa kwenye show kwa dau kubwa kuliko Jide?

Kamuangalie kwny uzi wa jmaa khs majibu kwa mashabiki wa mikoani.
 
Kwa maneno hayo....... Sisi wahenga tunaweza kuyatafsiri kwamba, bado anampenda alie muacha. Na hakika kuachana kwao bado kunamuumiza wakati mbele ya jamii anajifanya hajali
Jamaa alikua anamkojoza sana, sasa binti amemis ma- skwit
 
Huyu Dada na mwenzake Joyce kiria na Zari ikiwa ni kweli naye ,wanaelekea pabaya
 
Kajibu vizuri tu anataka kuscreenshot na ndio hivyo huyo bwege kaja kulibandika humu..
 
Back
Top Bottom