Uchunjuba Punjubi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 799
- 622
Kwani alitakiwa amjibu vipi, maana kajibiwa ipasavyo ati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawajaribunasikia wanaijeria wanamaumbile makubwa ya viungo vya uzazi vya kiume.. je ni kwweli
Sijafahamu unapata wasiwasi gani na majibu yake. Jide alikuwa sahihi, ume screenshot majibu yake na kuyabandika ukutani kama alivyo predict.View attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa.
Halafu wamechokoza wenyewe hapo.....binadamu bwana![emoji20]Mbona kamjibu poa huyo kidudumtu..
Halafu wamechokoza wenyewe hapo.....binadamu bwana![emoji20]
Hata mie nashangaa. Gardner ana kazi yake, iweje aitwe Marioo?Marioo kivipi wakati jamaa anapiga kazi Clauds
ama hili neno "marioo" lina maana pana zaidi?
tusaidie mkuu