ngonzi zomukama
Senior Member
- Apr 13, 2010
- 170
- 6
ushauri wa bure, dada asidanganyke na vitu vya kupita hii dunia ni kama njia tu,arudi katika imani na mungu atamuongoza dhidi ya udhalimu wa huyo bosi otherwise ataingia katika mikono ya shetani.
dah inanisikitisha sana hii habari yako ni jinsi gani watu wanatumia vibaya vyeo walivonavyo imagine leo hii ndoa ikipotea hao watoto wataishi katika mazingira gani,? mi namuombea sana kwa mungu amtoe katika hili balaa.
u mean kalikubali hilo gari?
u mean kalikubali hilo gari?
Kama ameshamegwa mi namshauri achukue mkoko familia yake inufaike na matunda ya mama kuchojolewa.huyu mdada kama kakubali hilo gari itakuwa ndio mmwanzo wa mporpmoko wa ndoa yake....
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha
alikubali dearest, na hiyo ni alama wazi kwamba 'ur application is being considered (tena most probably 'positively')
Ungekuwa wewe ungelikataa?
alikubali dearest, na hiyo ni alama wazi kwamba 'ur application is being considered (tena most probably 'positively')
kabisa kabisa, coz nina uwezo wa kuwa na langu bac hilo lingine clihitaji, pili bado naipenda sana ndoa yangu so nipo tayari kuiharibu/ipoteza....umenimanya?