Dada yetu Sylvia Mulinge alikwepa mtiti kwa kuzuiwa kuwa mkurugenzi Voda Tanzania

wabunge wa Ulaya wanajielewa sana sio kama hizi ngegera za kijani
 

Dah no kweli kabisa mkuu tupeane pole tu binamu zetu from North

Na tena saivi activism yoyote imeanza kuhusishwa na Kenya Intelligence angepata sana tabu

Kwanza angeanzia jela kama yule Mmisri na saivi baada ya uchaguzi angekua anaelekea jela tena kwa mashtaka ya "ugaidi" na kina Mbowe

Katika maisha bwana usilaumu kwa jambo unalokosa hata kama no cheo/fursa nzuri kiasi gani huwezi jua Mungu anakuepusha na nini
 
Hii balaa yote sijui angetoka vipi, angetuhumiwa makubwa na kufedheheshwa sana.....ingemharibia sana CV/wasifu.
huyo alinyimwa kibali
kwani hata safaricom si mliwatuhumu kuchezea kura?
 
Tanzania imekuwa shit-hole sasa. Ligi yenu imekuwa North Korea sasa
 
Bila VPN hufiki JF....hii ni wiki ya pili now!

Halafu kuna majinga yapo hapa yameingia kwa VPN yanasifia Magufuli na CC yake kufunga internet!

Yaani we have large group of dunderheads in this country
Sikujua kwamba lazima utumie VPN ili uingie JF. Hawa Wabongo wanasifia ujinga kwa nini? Wao ndio wanaumia na wao ndio wako mstari wa mbele kushangilia huyo mkubwa. Inaonekana hata huyo mkubwa akianza kula wake zao watashangilia tu. Inasikitisha sana
 
Mkuu

Kuna phase fulani muhimu sana kama yenu ile ya mwaka 2007 inatakiwa tupite tufe kama watu laki 2 au laki 5 hivi ili twende kwenye true liberation!

Its sad katiba mpya ilitushinda na hawataki kuisikia tena,yaani ilishakufa kabisa!

Sad....

Duh! Hapana usiombe kitu kama hicho kiwatendekee huko, 2007/08 nilikua hapa hapa kwetu Kenya na nilichoshuhudia siwezi nikaomba kitendeke kwingine, lazima kuna namna nyingine ya kutatua issue zenu bila kupitia hapo.

Binafsi ningeshauri muache vijana wapitie cha moto miaka ijayo mitano, nchi kuendeshwa bila ya mtu yeyote kuwa na uwezo wa kuhoji chochote, waliwe hadi watie akili kiasi cha kuwa tayari kulinda demokrasia ikija kufikia uchaguzi wa 2025.

Kwa mataifa yenye uchungu wa hiki kitu na ambayo vijana walishatia akili hukomaa yaani kura zikipigwa zinahesabiwa wakiwemo, kura moja baada ya nyingine, ukihesabu lazima uwaonyeshe wote kabla kuitia pembeni, polisi huwa hawana la kusema, hukaa kutazama tu maana vijana wenyewe maelfu, utaua wangapi. Lakini hapo Tanzania, vijana wote walitelekeza vituo vya kura na kugeuza kwenye mishe zao na ndio ikawa ilivyokua.
 
Jina lake lenyewe shingwaa pombe
 
Mkuu

Kuna phase fulani muhimu sana kama yenu ile ya mwaka 2007 inatakiwa tupite tufe kama watu laki 2 au laki 5 hivi ili twende kwenye true liberation!

Its sad katiba mpya ilitushinda na hawataki kuisikia tena,yaani ilishakufa kabisa!

Sad....
unaona ulivyo tuckle mkuu??

nikuuulize umeandamana leo??
 
hiyo ndio aina ya akili zinazowasapoti wapinzani tanzania imagine[emoji16][emoji16][emoji16]

yaani hata wewe hujapenda namna anavyowaza,na umezoea fujo.vipi mimi mtz ambaye sipendi vurugu??
 
Upo sawa

Ila tushajaribu amani kwa miaka 60 sasa...CCM inatuona wapumbavu kabisa!

Inatakiwa half a milion au one milioni tufe nadhani ndio itatokea meaningful change!
Sio lazima iwe half a million. vijana elfu moja jasiri wakitokea barabarani kuandamana kwa sababu ya wizi wa kura halafu polisi waue 100 basi hio imetosha JPM kuona moto faya kutoka kwa wazungu. Atakimbizwa hadi aseme po! Lakini mkijifungia majumbani hata USA wanashindwa watawasaidia vipi?
 

Eti, hata USA wanashindwa watawasaidia vipi? You sound like someone who wishes Tz pawake, sio ww tu, many Kenyans wish for that, some are investing for the course.
Poleni sana, life isn't hard here, to the extent people wajitoe muhanga kisa siasa, iyo ndio kitu wakenya mnashindwa decipher, huu ni mfupa mgumu hata kwa US. Bakini hapo na wivu zenyu
 
This THIEF Jong Jiwe MUST BE stopped by all means.Get up and Stand up for ua rights.Almighty God is with u.Mwenyezi Mungu wa haki atawashindania
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kibwege.
 
Bila VPN hufiki JF....hii ni wiki ya pili now!

Halafu kuna majinga yapo hapa yameingia kwa VPN yanasifia Magufuli na CC yake kufunga internet!

Yaani we have large group of dunderheads in this country

Inategemea kiwango cha ubora wa simu yako.
 
What is misaada they take trillions wealth of resources in Africa and give a couple of billions. So hiyo misaada nayo ni ujinga tu hamna kitu, But anyway USA hana that positive publicity in Tanzania so kuimpose sanctions may make matters worse na yeye anajua hivyo hawezi kui-sanction Tz as simple as abc.
 
nyie rukenirukeni tuu apa jf mkija kustuka sgr phase 3 tunaipa kampuni la USA af tunanunua silaha UK then tunamalzia na mgodi 1 wa dhahabu kule singida tnawapa campuni la canada.
af tnawadere chama cha mbowe na chama cha zitto mtavokua metumbua macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…