General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
HABARI KINA DADA WOTE
Kina dada wengi hawana tamaduni ya kufanya mazoezi.Wengi wao wamekuwa na vitambi na kuzidi kuongezeka kila siku.Ni nadra sana ukute dada mrembo mwenye watoto wake wawili mpaka wa tatu hana kitambi.
Unakutana na mdada msomi lakini hajui hata kupangilia milo yake kwa siku.Wala hata muda wa kufanya mazoezi na kupumzika kwa wakati.Wengi wao wanafikra za kupaka Mikorogro na kumeza dawa za kuongeza hips na kuvaa Nywele bandia.
Lakini siri ya urembo hawaijui.(watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa).
Hawajui kutokuwa na tumbo kubwa hupelekea kupendeza kwa mavazi na muonekano mzuri hatakama huja paka mkorogo wa CONGO.
Fikiria ukutane na mdada asie na Tumbo alie zaa watoto wasio pungua wawili awe na Confidance ya ushawishi katika biashara au kwenye siasa.Maranyingi huwa na Nguvu sana.
Pia fassion nyingi nzuri huko Duniani zinaendana na wasio na Tumbo.
KINA DADA MNAPOTEZA MVUTO NA MNAKUWA NA VITAMBI KUPITA KIASI.
UKWELI HII NIKERO
NA PIA KWANGU NI KWA WALE WALIO BAHATIKA KUWA WASOMI NA WANA KAZI ZAO NA FAMILIA ZAO.SI KWA WALE WAKAWA