Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Unawahi Taa.........Nikionaga mda ana kitambi au ndevu automatically nakimbia mwendo wa ngiri mkia.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawahi Taa.........Nikionaga mda ana kitambi au ndevu automatically nakimbia mwendo wa ngiri mkia.....
Nkiona ndevu nahis kama ni feminist hv🤔Unawahi Taa.........
Dah,pole zakeNdiyo ilikuwa hivo na kuwakomesha wanawake wenzie.
We unafikiri nan mwingne alikua anafurahishwa? Zaid ya mwanaumeDah!ukute alikuwa anataka kuwafurahisha watoto wa wanawake wenzie...sad
😁
Ndo kufanyejeDiet haisaidii afanye detox utanishukuru baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nionee kiduchuuu.Nitulie mie, Sina tumbo...
Hapa nimepiga Tank Top na boyfriend jeans Sina habari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama naona team vitambi tunavosonya🤠🤠🤠😂