Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
Mi cheusi mangala tii
Hahahaha, hivyo hivyo. Maana straika wa ukweli hachagui mguu wa kupigia mpira. Straika wa ukweli anapiga na miguu yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi cheusi mangala tii
HahahaKi ukweli, kwangu mimi hakuna kitu kibaya kwa dada menye ngozi ya kiafrica akajichubua....
Najua Mtanichukia, na kunitukana ILA MUNGU ANAWAONA....
ACHENI KUJIHARIBU SURA
View attachment 394357
Kujichubua ndyo mwanzo wa kutafta stretch mark na skin canser ,øgopa sana cosmetic yenye viambata vya kung'arisha hydroquinine
HahahaWamekaririshwa ukiwa mweupe unakua mzuri