Dada zangu mtuliege

Dada zangu mtuliege

Kama tunavyopangwa kwenye mabaa! Na kila mmoja anakula kwa usefu wa kamba yake na kujiona mmiliki na mshindi!
 
Nimei copy X

Leo nimeshuhudia fedheha.

Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo peke yake kwa dem, so akamuandalia zawadi nyingi tu na nyingine akamtumia kupitia mtu mwingine.

Guess wat ......!!

  • Alimnunulia gari Cx3
  • Simu kali iPhone sijui toleo lile
  • Viatu kama pair 2 vile niliona
  • Pia niliona kibunda nadhani km mil 3 au 4 na vitu vingine maana sio vyote kafungua.

Sasa vitu vyote akampa jamaa mmoja (delivery) na namba ya simu ya yule demu kwamba akifika ampe, ILA kampa starti moja yule delivery kuwa akifika amwambie ampigie mpenzi wake amshukuru kwa kumletea zawadi zile.

Hahaaaaa hapo ndio kimbembe kilianza, kumbe demu ana washikaji wengi aseeeh...akaanza kupiga simu ya kwanza akidhani ni huyo katuma, kumbe hata sio, akaomba msamaha akakata simu. Akapiga mtu wa pili pia sio yeye kamtumia. Akapiga simu ya tatu kwa mwingine pia sio yeye.

Delivery akachoka kusubili dem anavyobahatisha simu akaamua aondoke, ile anaondoka akakumbuka jamaa mmoja hivi sasa akahisi ni yeye katuma zile zawadi ikabidi amkimbilie yule delivery ampigie ili jamaa asiondoke na zile zawadi. Sasa pale amemfikia simu ikawa tayari ipo hewani akaanza kuongea nae kumbe pale pale waliposimama ndipo mwenye ametuma vitu vile yupo. Akawa anamsikiliza tu dem anavyoongea akiwa ndani ya gari na yule wa kwenye simu akakataa kuwa hatajatuma zawadi yeyote kwake.

Delivery naye akaona dem miyeyusho akamwambia jamaa aliyemtuma. Bro chukua vitu vyako demu mwenyewe amebahatisha wanaume huyo anayeongea wa 4, jamaa akachukua vitu vyake, muda huo demu bado alikuwa akiongea na simu.

Sasa dada kumaliza kuongea na simu anageuka anashangaa jamaa au tuseme mshikaji wake ndiye kasimama mbele amebeba zile zawadi. Kuangalia huku na huku yule delivery hayupo akamshobokea jamaa et bebi woooow. Nakwambia kamsukuma hata hatajaamini maskini.. aloooh ilikuwa aibu. Kamwambia akomae na alowapigia na gari mpya karudi nalo.

Oya dada mnaouza sijui nguo sijui vipodozi na viatu punguzeni leo mwenzeni kimemkuta huku nadhani amejifunza kubaki na jamaa mmoja.

Sijui hata birthday yake itaendaje huko aliko
Hii hadithi yako haina muunganiko,kamuombe aliyekusimulia arudie tena na uwe makini kumsikiliza, sawa sawa?
 
Mwanamke ndiye anayemhitaji zaidi mwanaume, wewe leo hauna ubavu wa kumuacha mumeo

Mwanaume ndiye gatekeeper wa mahusiano mwanamke ni gatekeeper wa ngono
Hajanipa sababu ya kumuacha, ila akinipa namuacha asubuhi tu, kunae mmoja alijiona mgumu km wewe lkn mwishowe aliishia kulia machozi na kamasi hadharani, haya mambo ni timing tu haijalishi gatekeeper au ngonokeeper
 
Kuna mifano mingi ya wanawake ambao wameshindwa licha ya kujua waume zao wanawacheat lakini hawana ule ujasiri wa kuachana nao. Ila wanaume kamili huwa hawasamehi wakisikia wake zao wasaliti. Huyo uliyemtoa kamasi ni simp
 
Nimei copy X

Leo nimeshuhudia fedheha.

Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo peke yake kwa dem, so akamuandalia zawadi nyingi tu na nyingine akamtumia kupitia mtu mwingine.

Guess wat ......!!

  • Alimnunulia gari Cx3
  • Simu kali iPhone sijui toleo lile
  • Viatu kama pair 2 vile niliona
  • Pia niliona kibunda nadhani km mil 3 au 4 na vitu vingine maana sio vyote kafungua.

Sasa vitu vyote akampa jamaa mmoja (delivery) na namba ya simu ya yule demu kwamba akifika ampe, ILA kampa starti moja yule delivery kuwa akifika amwambie ampigie mpenzi wake amshukuru kwa kumletea zawadi zile.

Hahaaaaa hapo ndio kimbembe kilianza, kumbe demu ana washikaji wengi aseeeh...akaanza kupiga simu ya kwanza akidhani ni huyo katuma, kumbe hata sio, akaomba msamaha akakata simu. Akapiga mtu wa pili pia sio yeye kamtumia. Akapiga simu ya tatu kwa mwingine pia sio yeye.

Delivery akachoka kusubili dem anavyobahatisha simu akaamua aondoke, ile anaondoka akakumbuka jamaa mmoja hivi sasa akahisi ni yeye katuma zile zawadi ikabidi amkimbilie yule delivery ampigie ili jamaa asiondoke na zile zawadi. Sasa pale amemfikia simu ikawa tayari ipo hewani akaanza kuongea nae kumbe pale pale waliposimama ndipo mwenye ametuma vitu vile yupo. Akawa anamsikiliza tu dem anavyoongea akiwa ndani ya gari na yule wa kwenye simu akakataa kuwa hatajatuma zawadi yeyote kwake.

Delivery naye akaona dem miyeyusho akamwambia jamaa aliyemtuma. Bro chukua vitu vyako demu mwenyewe amebahatisha wanaume huyo anayeongea wa 4, jamaa akachukua vitu vyake, muda huo demu bado alikuwa akiongea na simu.

Sasa dada kumaliza kuongea na simu anageuka anashangaa jamaa au tuseme mshikaji wake ndiye kasimama mbele amebeba zile zawadi. Kuangalia huku na huku yule delivery hayupo akamshobokea jamaa et bebi woooow. Nakwambia kamsukuma hata hatajaamini maskini.. aloooh ilikuwa aibu. Kamwambia akomae na alowapigia na gari mpya karudi nalo.

Oya dada mnaouza sijui nguo sijui vipodozi na viatu punguzeni leo mwenzeni kimemkuta huku nadhani amejifunza kubaki na jamaa mmoja.

Sijui hata birthday yake itaendaje huko aliko
Mwaisa wanaume mnachamba siku hizi,mabinti cha mtoto khaaa
 
Wakati yote hayo yanafanyika wewe ulikua umejibanza wapi kuyafuatilia?swali la mwisho
Hiyo ofisi yenu inajishughulisha na utoaji wa huduma gani?
 
Attachments

  • 20240102_223930.jpg
    20240102_223930.jpg
    39.7 KB · Views: 3
Hii ni story kama zilivyo story zingine, ila kiuhalisia wadada wanazingua sio polepole.
 
Back
Top Bottom