Dada zangu naombeni jibu, kwani hii nimeisikia kwa wanaume tu!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Najua Above 18 mtanielewa tu. Nimepata kuisikia kwa wanaume kadhaa kuwa
pale wanapokuwa na magari yao wanapoendesha kuelekea kileleni huwa
wanajenga fikra za kuendesha magari mengine. Yaani kimwili huwa anaendesha
gari alilonalo kwa wakati huo lakini kifikra huendesha gari lingine kabisa ambalo
mara nyingi hupenda kuliendesha lakini hana uwezo wa kulinunua au vinginevyo!

HUJAELEWA?
Yaani wakati ule wa Chakula cha usiku basi wanaume wao badala ya kuwazia kile
chakula anachokula huwa anawazia chakula kingine ambacho kimepikwa huko nje.

Vipi dada zangu, unaweza kupakiwa kwenye gari na dereva mwingine lakini
Imagination yako ikakupelekea kuona unaendeshwa na dereva ambaye sio
yule aliyeshika usukani?
KWA NINI?
 
Ndiyo inatokea pia, unaweza kupanda gari kuukuu kama JABA na dereva
kafanana na hilo Gari, Hana mvuto wa kukufanya usikie raha ya safari
ili usafiri vizuri unajenga picha kuwa uko ndani ya SHANGINGI huku ukiendeshwa
na mbunge kijana. INATOKEA, hivyo usijidanganye kuwa kila abiria wako huwa anafurahia hiyo
safari yako kwani madereva wengine ni vimeo bila hivyo hupati raha ya safari.
 
Hio haipo kwa wanaume tu, hata sie wanawake. Upo na GAZETI akili yote ipo kwa Kongosho,

akili ikiwa kwako Mlima hupandi wala kileleni hufiki. Mimi naamini inatokana na mwenzio kupungua

mvuto katika akili na machoni pako au hata tu ile ya kibinadamu ya kumuona ambae unahisi ni zaidi ya hilo gari unaendesha.
 
Last edited by a moderator:
Duh! Yaani upo na kongosho kimwili tu, kihisia uko na GAZETI
mh! haya bana.
 

Kuuuumbeeee
 
Last edited by a moderator:
dereva feki si mtaki kabisaa asijesabisha ajali mbele ya safari.
 
Mimi haijawahi kunitokea hiyo situation,nitakua muongo kusema ndio..
 
Ngoja nikatest kidogo.

Erotica, mkimbie gazeti uje kwa kongosho.
 
si kujitesa tu
ule kwa mama ntilie uhisi uko Kempisiki....
ya nini??/

Hapo ukute chakula chenyewe hakiliki mpaka upate counselling. Sasa ili kipande, unajipa matumaini tu. Mida mingine hata Jogoo kuwika inabidi akili ihame kabisa au muangalie mechi ya wengine. Dunia ina mambo.
 
inatokea,either una mwanaume zaidi ya mmoja.na huyo mwengine haridhishi.au unaweza ukawa na mmoja ila una compare na your ex ambae unahisi ni better than your boyfriend/husband.unabaki kuvuta taswira tu.
 
da mi nimuadhirika wa hiyo kitu mazee.sometimes nahc ananistukia.
 
mama mmoja alinifunda akaniambia mdogo wangu precious, ukiwa na mpenz wako ktk shughul akil yako iwe kwenye picha za ex hapo utafika kilelen, mi nkabak mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…