Dada zangu punguzeni njaa.. Khaaah!

Dada zangu punguzeni njaa.. Khaaah!

Hehehe. Ninako ka gold digger kamoja ni hatari sana! Mtoto cute kapitiliza. Nyumbani kwao fresh sana. Actually katoka kununuliwa gari ya maana tu a few days ago. Ili cost kama 18 mil hivi.
Mimi kuangalia back ground ya mtoto nikajua hapa panaweza kuwa patulivu!!
Aisee how wrong I was! Hadi siamini!!
Vimzinga vya chini ya laki every after 2 days ni kawaida. Ila nilipigwa wa milion 7 nilicheka hadi machozi.

Nikamwambia kua mizinga yake inanipunguza sana mapenzi kwake becuase siamini hata hela ya vocha hana. Haijasaidia. The most confusing thing is, nimesitisha kumpa ila bado tunachat, hajasema ananiacha japokua uwezo huo anao sana!
Mimi sijamwambia na mwacha coz she is a gud accessory ukienda nae out! LOL.

Kaka hao mimi ndo nawapendaga! Nikipata wa kueleweka NAJIANGUSHA NDANI YA 18 TU

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ha ha,nipo Mang'ola..inaelekea umepigwa kibomu cha mana, poyeee sana!! umeingia mjini lini aisee? na mbona unalalamika hivyo? ulihonga 1bn? UNALO wewe ulieko MJINI, utachunwa mpaka mokasi🙂)

sent from my RedBerry 3900 using LindiForums

Hahaha unafikiri kila m1 alikuja dar eenh! Wengine wamezaliwa hapahapa wewe.. Nmeleta hii thread kwa kuwa yanatokea sana mjini hapa. N DID I MENTION anythn like nmelipuliwa. Jipange ww!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo ndio test ya kujua kama what type of man you're, ukiwa mwanaume suruali utasepa. Mwanamke si mjinga eti

Hahaha WALEEE WALEEE

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hiyo inaitwa Proforma Invoice (Ankara kifani), dhamira yake ni kukufahamisha kuwa mkataba utakuwepo kwa gharama hizo. Ni hiari yako kukubali au kukataa. Ukikubali utapewa Invoice tayari kwa malipo. Huna sababu ya kulalamika, unataka subiri invoice hutaki basi timua. Vizuri gharama, watu tunahonga nyumba itakuwa hizo pesa mbuzi.
 
Hahahaaaaa..... Asaaaaaanteeeee..... Kweli hii ni Kazi kubwaaaaaa..
 
Kaka hao mimi ndo nawapendaga! Nikipata wa kueleweka NAJIANGUSHA NDANI YA 18 TU

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu umeniacha hoi! Kujiangusha ndani ya 18 ndo inakuaje hiyo? Maana hapo kuna mawili upewe penati ubebe timu au upewe kadi nyekundu uuze timu
 
Hiyo inaitwa Proforma Invoice (Ankara kifani), dhamira yake ni kukufahamisha kuwa mkataba utakuwepo kwa gharama hizo. Ni hiari yako kukubali au kukataa. Ukikubali utapewa Invoice tayari kwa malipo. Huna sababu ya kulalamika, unataka subiri invoice hutaki basi timua. Vizuri gharama, watu tunahonga nyumba itakuwa hizo pesa mbuzi.

Hahahaha ntakupa cross pass mazee, mimi hii hata!!
 
Hiyo ndio test ya kujua kama what type of man you're, ukiwa mwanaume suruali utasepa. Mwanamke si mjinga eti

Madame X mizinga inabidi iwe within reason. Mbona kwenye shughuli ni nipe nikupe. Kila kitu droo iweje mimi ndio nilipie tena kupita kiasi matumizi yake. If she never likes it than thats another story, lakini mtoto kwenye mambo hadi kilugha anaongea wakati tukiwa out kiswahili anajifnayaga hajui!! Lol.
 
siku hizi mapenzi biashara. Enzi zetu tunafukuzia demu mwaka mzima siku ukimpata ukitaka kumpa pesa anakuwakia utasikia kwani mi malaya? Kweli miaka hii kupata mwanamke si kazi, kazi kupata mke! Ndo maana ndoa nyingi hazifiki hata mwaka
 
Hahaha unafikiri kila m1 alikuja dar eenh! Wengine wamezaliwa hapahapa wewe.. Nmeleta hii thread kwa kuwa yanatokea sana mjini hapa. N DID I MENTION anythn like nmelipuliwa. Jipange ww!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

:clap2:
:lalala::laugh::laugh::clap2:
 
Hilo huitwa "hashuo". Inabidi kulikwepa kama ukoma.

Mwanamke anayejiheshimu kwa staha zote hawezi kukuletea matatizo yake mara baada ya kujuana tu.

Where is the pride?
 
Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa
 
Hujapendwa ndo mana anakuchuna, trust me,mschana km kakupenda kwa dhati hawezi kukutoa pesa zako. poyeniii. Ila na nyie mmezidsha promo bwn acha mchunwe, et unakutana na m2 for the 1st day anaanza me nina CPA, 4 the time being nafanyia hapo TRA HQ bt nataka nifanye masters, ninaish mbez beach peke yng, this s my ride bt nw nko on process ya kuagiza nyingne, thn mkiagna unapigwa 40000 ya vocha. Asa km cyo kutaftiana dhambi hapo ni nn? acha m2miaji apate matumiz manake nahc zimemzidi
 
Cha mlevi huliwa na mgema Hehehehehehhehe

Back
Top Bottom