Apiwe
Member
- Jul 12, 2026
- 8
- 15
Salama
Mama wa miaka 40+ kuonyesha kunitaka kimapenzi, ana watoto 5 wakubwa , mtoto wake wa kwanza ana 22, ana Mme wake wa ndoa anaishi naye na wana maisha ya uchumi wa kati na ana biashara anaendesha tofauti na za mme wake
Kilichotokea yule mama aja ni-face mimi , aliwaface dada zangu na kuwauliza yule kaka mgeni kwenu ni nani? Bila kupepesa macho akaanza kumwaga sifa na kuanza kusema ananitaka na kunipenda jinsi nilivyo , na aliwaomba namba zangu za simu
Masister hawakupenda pendekezo la yule mama wakaanza kugombana naye na kutupiana maneno makali, na kumwambia asije kunizoea hata kidogo, ugomvi ulikuwa mkali sana
napata taarifa baada ya miezi mitatu baada kusafiri, na cha ajabu kila siku jioni lazima nipite nyumbani Kwa huyo mama na lazima nimsalimie hapo nje kwake, ninapoenda mazoezini
Napata stori za mtaa kuwa baadhi ya wadada wa makamo 45+ na kuendelea, unaweza ukawaita mishangazi au mimama wana tabia ya kutembea na wavulana/wanaume wadogo na tabia hii ipo Kwa wingi sana
Hata mimi nna 32, sio mdogo kiivyo ila masikitiko makubwa ni mke wa mtu then ana watoto wakubwa sio vizuri kuwavunjia heshima watoto wake kwani kimuonekano huyo mtoto wake mkubwa tunaonekana kama tupo sawa tu ki muonekano
Na nnacholaumu yule dada kwanini? Asingeniface mimi mwenyewe pengine tungetafuta meza tuzungumze vizuri na ingewezekana ingemponya , Sasa hivi tena haiwezekani taarifa zimeshafika kwenye familia ndani kabsa
Nilirudi home tulifiwa na ndugu yetu msiba ukawekwa nyumbani so nilirudi kwenye msiba na nikasubiri mpaka 40 ifanyike ndio niondoke , Sasa hapo kati ya msiba na 40 ndio mama akataka huduma sema alikosea pakuanzia na mtaani hapo mimi sijulikani yaani ni mgeni kabsa wazee walinunua nyumba miaka 16 iliyopita na mimi sijawahi kukaa hapo nipo juu juu tu na harakati zangu so nikienda mara moja moja, kwenye shughuli so majirani wananiona mgeni , daah ila wamama khaaa
Akijaribu kupata namba yangu na kunitafuta awezi kujutia kunifahamu, ila nafikiri Kwa nilivyopata story alivyogombana na masister zangu awezi tena kujaribu kutafuta namba yangu
Hali mbaya kila sehemu