Dada zangu wamegombana na mama mmoja hivi mtaa wa pili kisa mimi

Kuna kitu kinaniambia wewe unampenda huyo mama kuliko vile ambavyo yeye anakupenda.

Kingine ni kwamba, huyo mama lazima atakuwa Mamndenyi.

Nimemaliza 😎
 
Kwani nia yako ni ni nini hasa kuketa huu uzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…