Rose inaonekana imekukera, ila usiiumie moyo lisemwalo lipo na kama hujaliona lipo karibu, ila mimi siwezi kwa sababu mi ni domo zege ambalo limegundikwa na super glue kabisa
mkuu inabidi usipecify kwanza type ya hawa wanawake na sehemu unakowapata maana sasa scientific data zinahitajika hapa
yawezekana mkuu anatembelea sana mitaa ya manzese, uwanja wa fisi na sehemu nyingine kama hizo thats why namba yao ni kubwa
hv mtu akiombwa no.ya cm akatoa ndo kujirahç au kutaka ku-do. bs km ni kujirahc hata aliyeomba naye kajirahc!
Rose1980 Mi nilifundishwa kuwa mwanaume unatakiwa uwe na msimamo mbele ya mwanamke, haka ukigundua umekosea, unakomaa na msimamo wako... Alafu hili jina la pili umelitoa wapi???!!!tuko benedictooo my freeeeeeeend dont try me ....i can tease u as well....try me :disapointed:
for that hundred percent I agree.mpz wangu SIJAKATAA KM ILI HALIPO...pbm yangu ni kwamba asiseme wanawake wote aseme baadhi...ao ambao kakutana nao ...yeye anaonekana anatembelea kwenye maduka ya wadada wauza na akanunua bdhaa..sasa iweje atoke nje ya soko na kuanza KUPONDA WANAWAKE WOOOTE ATA WASIO KUWA SOKON?thats my take...umenipata brada?
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa
ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar!
Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa utadhani anakujua maisha yake yote hadi wanatia aibu.
Kule fb ndio balaa kabisa. Pale kidume ukijipanga ukaweka mark ya wanawake wa kulala nao hata
kama mark yako ni 25 within a month
malengo yako yanatimia. Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo. Akina dada
badilikeni, mjithamin utu na heshima zenu!
Then mnakuja na lawama kibao kwa akina sie za
kutendwa na vilio kibao. Jiheshimuni tutawaheshim pia.
ok.na mimi ninao 7 kila mmoja na babayao so poa....tutawalea kwa pamoja...ahh noooooooooooo nimegoma..naogopa kukubalia kilahisi utaniona namna gan vp...stakkkk....nooooooo:car: naendelea na safar nkatongozwe mbele
Rose1980 Mi nilifundishwa kuwa mwanaume unatakiwa uwe na msimamo mbele ya mwanamke, haka ukigundua umekosea, unakomaa na msimamo wako... Alafu hili jina la pili umelitoa wapi???!!!
Rose baby mbona wewe kila mmoja anajua wewe ni mtulivu. Tukikaa kijiweni na makamanda wewe upo kwenye list ya wife material. Wewe nakuoa na kukuweka ndani. Sitakugusa hadi utake mwenyewe! Unasemaje baby?
wawe wagumu ili iweje?
bora hivi
inaondoa headache
ukikosa huyu unapata huyu....