Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

NAdhani ungeanza kujiheshimu wewe unaesalaimi mwanamke usiemjua na lazima macho yako yanacheza cheza unapompa chabo! na hilo nalo ukome ukamae mwanamme ! usipende kutukana wanawake bila sababu na sema baadhi, sio wanawake wote, BADILI TABIA WEWE KWANZA ...ujue ukimNYOOSHEA MTU KIDOLE WEWE VYAKUGEUKIA VINNE...na istoshe ukila kuku wa mwenzio miguu inakugeukia ...



bachambe bachambike aooooooooooooooooo..ahhh mi kuona raha kunoga mwali bhaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
km ukia plly iyo methali so to say WANAUME WOTE MASHOGA?
CZ KUNA SHOGA MMOJA MTAANI KWETU SO NIWAONE WANAUME WOTE MABWABWA?


plsss doooooooooont use t..:wave:

we umeona mwanamume shoga mmoja sisi tumeona wanawake wengi, muwe munaelewa msiwe wabishi bila tija. wanawake wamekuwa uji sana hata we mwenyewe hapo ukute ndo walewale. Wanawake wote ni sawa awe amesoma hajasoma wote huwezi tofautisha mnagawa sana mi nshatembea na wanne hadi sasa toka facebook. Tena huenda na wewe unaweza ukawa mojawapo

 
Njoo nikupe radio call si inakufaa?


ehh radio cal ndo ile ya..harrroooo...nipo darajani...ovaaaa..et?
ehh smile mwaya ntakusaidia kuandamana...kakutusi kidipolomasia uyu ahh mi KANKWAZA WALA AJANIBARIKI...
 
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa
ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar!

anaezifuata hizo bidhaa ni nani kama sio nyie? nyie wenyewe ndio bidhaa isiyokosekana sokoni na inajitembeza yenyewe.

Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa utadhani anakujua maisha yake yote hadi wanatia aibu.
ulitaka ukimsalimia afanyeje?wewe ukimsalimia unategemea nini?wewe mwenyewe unasalimia kwa kulainika. na hizo contacts anakupa bila kuomba? kama hujaomba lazima uchukue ukipewa? wewe hujioni na wewe ni bidhaa??

Kule fb ndio balaa kabisa. Pale kidume ukijipanga ukaweka mark ya wanawake wa
kulala nao hata kama mark yako ni 25 within a month malengo yako yanatimia. Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo.
ehe hiyo mark unayoweka wewe huhusiki au analala peke yake? umemtumia au mmetumiana?yeye akikuona kwa mara ya kwanza wewe inakua ni ya pili au? na hapo bado unamuona mwenzio pekee ndio bidhaa??

Akina dada
badilikeni, mjithamin utu na heshima zenu!
Then mnakuja na lawama kibao kwa akina sie za
kutendwa na vilio kibao. Jiheshimuni tutawaheshim pia.
jiheshimuni na nyinyi pia.kila siku wadada wadada utafikiri huo uzinzi wanafanya peke yao!! acheni hizo!!
 
we umeona mwanamume shoga mmoja sisi tumeona wanawake wengi, muwe munaelewa msiwe wabishi bila tija. wanawake wamekuwa uji sana hata we mwenyewe hapo ukute ndo walewale. Wanawake wote ni sawa awe amesoma hajasoma wote huwezi tofautisha mnagawa sana mi nshatembea na wanne hadi sasa toka facebook. Tena huenda na wewe unaweza ukawa mojawapo



NI KWELI TUPU ASI MNUNUZI WANGU NI WEWE NA BABAYAKO MZAZ....
we ndo aujaelewa bp pank...kukutana na mtu au kikundi cha watu wapo namna gan vp katika jamii flan aimaanish watu wote wapo ivyo kwenye iyo jamii

then skukataa kwamba awapo ni kwamba aseme baadhi lakin kusema woootew wapo ivo apana nooo...km mama yako na dada zako wapo km uji its u bt not wanawake wote wapo ivo

kaoge babu..labda medula itafunguka othewse:rip:
 
dada labda sina bahati, walionizunguka naona kama wote vimeo!
Ni nadra sana naona mwanamke mwenye heshima zake.

wenye heshima zao wanafuata wenye heshima zao pia.ukiwa kimeo utazungukwa na vimeo pia.
 
Kama kuna mtu haamini kuwa wanawake wanajirahisi mno nenda pale hostel ya ustawi wa jamii kuna kihosteli flani kipo karibu na hongera baa kuna ka baa kamoja embu kaa pale nusu saa uone uchafu unaofanywa na wasomi wale yaani utachoka

wangekuwa wanatongozana wanawake kwa wanawake i would support u, kwakuwa na wanaume ni wahusika nasema hivi WOTE NI WACHAFU,NA WEWE KAMA C MCHAFU HAPO HOSTEL UNAFATA NINI!!!!!!!!!
 
wenye heshima zao wanafuata wenye heshima zao pia.ukiwa kimeo utazungukwa na vimeo pia.

There is a saying: tell me who you hang out with, I will tell you who you are. Hivi mtu anae panga mark ya wanawake wa kulala nao katika mwezi ni mtu wa aina gani? na ni wanawake wa aina gani wataingia katika mpango wake huo? it is just normal that he would aim at the woman with the lowest self esteem.

Kama unataka kukutana na wanawake wenye heshima zao anza kwanza kubadili sababu ya kutafuta wanawake. Isiwe sababu unataka kufanya nao mapenzi, iwe sababu unataka kuwajua tu kwanza. Wapo fasi zote, wamekuzunguuka. Hata huko facebook wapo (utawajua kwa namna yao ya kupost, kwa picha wanazo ziweka na kwa heshima ambayo rafiki zake wanapost on her wall).
Ni kweli kua wanawake "rahisi" wapo, ila na wanaume "wajinga" wapo pia, and I find these to be the perfect match (no offence)
 
we umeona mwanamume shoga mmoja sisi tumeona wanawake wengi, muwe munaelewa msiwe wabishi bila tija. wanawake wamekuwa uji sana hata we mwenyewe hapo ukute ndo walewale. Wanawake wote ni sawa awe amesoma hajasoma wote huwezi tofautisha mnagawa sana mi nshatembea na wanne hadi sasa
toka facebook. Tena huenda na wewe unaweza ukawa mojawapo


na hilo pia unajisifia?? ingekuwa ni penseli unaingiza kwenye kichongeo ingekua imebaki kifutio tu!!
 
Nazani imefika wakati tuanzishe insurance na tax ya ngono ili taifa lijipatie vijisenti vya ziada. Kila ukipiga bao nyingi na tax inaongezeka
 
hivi sio kwamba wanaume wanachangia??? Nut iliyogomea spana ukiilazmisha na plaiz ama nyenzo nyngne, mara nyng hufunguka.
 
we umeona mwanamume shoga mmoja sisi tumeona wanawake wengi, muwe munaelewa msiwe wabishi bila tija. wanawake wamekuwa uji sana hata we mwenyewe hapo ukute ndo walewale. Wanawake wote ni sawa awe amesoma hajasoma wote huwezi tofautisha mnagawa sana mi nshatembea na wanne hadi sasa toka
facebook. Tena huenda na wewe unaweza ukawa mojawapo





we kweli mait....kutembea na wanawake ovyo UNAJISIFIA?
una wadudu kichwani
 
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa
ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar!
Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa utadhani anakujua maisha yake yote hadi wanatia aibu.
Kule fb ndio balaa kabisa. Pale kidume ukijipanga ukaweka mark ya wanawake wa kulala nao hata
kama mark yako ni 25 within a month
malengo yako yanatimia. Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo. Akina dada
badilikeni, mjithamin utu na heshima zenu!
Then mnakuja na lawama kibao kwa akina sie za
kutendwa na vilio kibao. Jiheshimuni tutawaheshim pia.

Ukienda Badoo ndio utakoma mwenyewe Jaribu
 
nidai pipi,

yeye anayeomba namba kwa kila paka anayelia nyau hajion km ana pbm...anaona pbm kwa yule anayempa namba pale anapomwomba...so okwad:angel:

c ndo hapo mamito! kuna wengne huomba no.kwa lengo la kibiashara "biashara halali co ile haramu" na lengo la kaz. ila baadh yao huwa wanamisuse hzo no.
 
Back
Top Bottom