Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

Kazi inayo lipa siku hizi ni ya kubeba mizigo dada zetu hawawezi kubeba hata gunia la mchele


ahh diwan wa manzese aya maneno yako au umeandikiwa?
nakunyan"ganya jimbo la manzese...NA SJUI UTAENDA WAP tena kuomba na kupewa namba kirahisi
 
kwan we jina la kwanza umelitoa wap?

km mmefunzwa ivo sawa...ata km mlifunzwa muwe mnakojolea chakula kabla amjala mtafanya ivyo.
so gud TUKO benedikto:smile-big:

Naona hapa ushaanza kutumia tamathali za semi, sijui tafsida! maana hapa chakula kitakuwa na maana nyingine.. But point ni kuwa ili mwanamke abadilishe uamuzi wangu kuna namna ya kuja. Sijali niko right au wrong, but dignity ya mwanaume lazima ilindwe na mwanaume mwenyewe...
 
Kama kuna mtu haamini kuwa wanawake wanajirahisi mno nenda pale hostel ya ustawi wa jamii kuna kihosteli flani kipo karibu na hongera baa kuna ka baa kamoja embu kaa pale nusu saa uone uchafu unaofanywa na wasomi wale yaani utachoka

sasa kujirahisi kwa ustaw wa jamii IWEJE IWAHUSU WANAWAKE WOTE JAMAN?
au mimi sielewe?
 

Me na ungana mkono na wewe,kwani hao wanake na jua wanatongozwa,tena mtoa mada ana onekana wazi ni mtaalamu wa kuwa tongoza hao wadada kwenye hiyo fb. mtoa mada hajasema kama ni yeye wajirahisha kwake lakini ukisoma hiyo habari kwa makini ni kwamba amejitaja bila kujua.
Cha msing ni kwamba wanawake tunawatafuta wenyewe wa kikubali tunasema wanajirahisha siyo fair,ikumbukwe kwamba kila mtu ana hisia.
"Na sikitika kusema kwamba habari ni ya hupotoshaji"
NB: ya kaisali yajadiliwe kwa kaisali
 
ahh diwan wa manzese aya maneno yako au umeandikiwa?
nakunyan"ganya jimbo la manzese...NA SJUI UTAENDA WAP tena kuomba na kupewa namba kirahisi

Manzese mi nakubalika wewe
Umeona jamaa anasema akanunua suruali kwa Tsh.180,000/= ambapo Manzese hiyo ni kodi ya miezi 6 na vibua juu.
Namba ukiombwa una hiari kutoa au kutotoa usipo toa unakuwa unapiga teke bakuri la dhahabu endapo umeombwa na mimi umeona eheee?
 

na kwa namna hiyo hiyo yua kun"gan"gania ata unapokosea unaona upo ryt bas naomba nikuache na ubsh wako siku ukiamka toka usingizin utanikuta apo kwa mang nakusubiri...

siiitaj nije na ujio flan cz m a woman ili nikuconvince we mwanaume ili uache POTOFU NA uchukue KWELI CZ ukweli ni ukweli milele so if u choose to b left is olways gud2....nataka cup of cofeee manake:disapointed:
 
hata Michelle?
unakumbuka mashairi yako?


kamanda Michelle si my Queen. Hakunaga kama Michelle, she puts me in line and puts up with my arse of which I kno i am. I Love her. She is speacial and unique. She is my guardian angel. She is my Michelle.
 
Last edited by a moderator:
stak ....NINGEKUBALI ila naogopa kesho UTASEMA ROSE MRAHISI WAKAT nilikukubalia kiroho safi tukae pamoja na watoto lakin ahh stak....


kujirahisi kunakuja pale unapokuwa umelala nae, mbona nimekwambia sirakugusa? Usiogope baby come this way.
 
Aiseee hivi kutoa contacts ndio kujirahisisha???!!!! maana mie contacts zangu namwaga tu hadharani hata wewe naweza kukupa halafu njoo na ***** wako ndio utajua kama najirahisisha.
taratibu mama....
 

Vp anakuomba namba huyo? Labda ana deal la madolari anataka mpige
 

Falacy of generalisation
 
kamanda Michelle si my Queen. Hakunaga kama Michelle, she puts me in line and puts up with my arse of which I kno i am. I Love her. She is speacial and unique. She is my guardian angel. She is my Michelle.
sasa akiyasoma haya unayoyasema humu patakalika? au umemchoka?
 


tamathali iko wap apo wewe?
ndo ivo kwamba chochote ulichofundishwa ata km kibaya utaganda nacho tu?
 

NAdhani ungeanza kujiheshimu wewe unaesalaimi mwanamke usiemjua na lazima macho yako yanacheza cheza unapompa chabo! na hilo nalo ukome ukamae mwanamme ! usipende kutukana wanawake bila sababu na sema baadhi, sio wanawake wote, BADILI TABIA WEWE KWANZA ...ujue ukimNYOOSHEA MTU KIDOLE WEWE VYAKUGEUKIA VINNE...na istoshe ukila kuku wa mwenzio miguu inakugeukia ...
 

Hehehe Mkoma Tembo taratibu nitapaliwa na Ulanzi hapa kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…